HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
....The ring finger represents your life partner......
.... They will not be able to separate because your life partner is meant to be with you throughout your entire life, through thick and thin...
Hao wanaoachana kila leo, pete zao huvaliwa vidole gani?
On serious note, kuna explanation nyingi sana kuhusu pete kuvaliwa kidole cha nne, lakini ukweli ni mmoja tu, pete hutumika kama kumbukumbu ya kiapo cha uaminifu na inatakiwa kumkumbusha mwanandoa kuwa anapaswa kuwa mwaminifu kila anapokutana na kishawishi cha kutoka nje ya ndoa. Hapa sijajibu swali lako, ila naizungumzia kazi ya pete maana sababu ya kwa nini inavaliwa kidole cha nne kuna myth nyingi sana kuhusu hilo na ukweli wake, bado haujathibitishwa ...