Why Students Fails

Wewe ndio umechoka akili kweli! Hata daladala unayopanda tayari wengine wengi wameishaipanda. Gari kupandwa na wengine haikuzuii nawe kupanda. Wapi umesikia daladala imejaa? Acha uhuru wa watu uendelee kufaidiwa. Huyo mleta hoja hakusema ni original ya kwake bali imepatikana kwingineko, walioisoma unayoisema heri yao, lakini wengine hawakuiona na hii ni mara yao ya kwanza. Ungeweka mbadala wako sasa ajifunze huyo unayemkatisha tamaa. Zaleo karibu ukumbini, lete habari wala usikate tamaa. Ndivyo walivyo humu ndani, wanataka wasikilizwe wao tu watu fulani. Miaka 50 ya Tanganyika ikomeshe haya, tuachane kabisa na "Zidumu fikra za peke yake yuleyuleeeee!"

naunga mkono hoja
 
cungi mkono hoja kwana wanaofaulu wanackutofaut na 365,??hzo ni fikra ya anaefel, aher mtu aamin ktk ujinga lakn icwe upumbavu kama huo cha msng ni njia na c jibu!!!!_[we need methoid not for answer}}}}}
 
Wasomi wanaangalia logic kuelewa, uckimbilie kutafsiri km mkaliman hapa. Jamaa co km anasema watu hawawezi kifauru hata yy naamini alifauru sema amejaribu tu kuhusianisha muda unavopotea kwenye mambo mengine na wanafunzi kukosa mda wa kutosha kijisomea. Ndo maana wengi wamesema geni kwakuwa hawakufikiria kukokotoa hii. Km inamapungufu sio mbaya amejaribu km ulisoma science, atomic theories zilikua na mapingufu lkn watu walikuja na zngine na hawakubeza waliotangulia. Nimeamini kunawatu humu wanataka kusomwa mawazo yao tu af mengi wanazungumzia ngono na ushenzi ***** zenu
 
asante sana. kuna watu wanajifanya wanajua kumbe ni ma zumbukuku. isitoshe hata hajaelewa kilichoandikwa.
 
Kweli kabisa wepesi wa kujibu bila kushirikisha kichwa. Na si kila mwenye kichwa anaakili!!!
 
Back
Top Bottom