Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Napita tu comrade πAu ulivyoandika "why should i confess? "ulitaka kumaanisha nini kwa kiswahili chake?
Una tumia kipaza sauti gani, maana hadi huku nanjilinji naku sikiaππ€£Hapo hakuna unachokunywa Leejay49 ?π€£π€£
Manake kwenye uzi wako umekiri kuwa una vijitabia vya pombee kutoka kwa hao mashangazi ππ
Mpaka sasa hawajanifanya kibaya labda kama wawe na mpango wananiandalia kwa siri,.Mpaka sasa miaka miwili ni kipi kibaya wamekufanya?
Mambo gani umeyaepuka?
Story ya matatizo na maujinga yako unatuwekea mtandaoni, do we care?
DaahπππSasa wewe na matatizo yako ya sikio unatuletea mtandaoni badala ya kwenda hospital....do you think we give a phuck??
Nina tatizo la sikio
Habari, Naomba msaada Nimetoa uchafu kwenye sikio siku nne zilizopita. Nahisi nimetoa uchafu kupita kiasi sasa sikio langu hadi leo halisikii vizuri linanipa shida sana.www.jamiiforums.com
Una tumia kioaza sauti gani, maana hadi huku nanjilinji naku sikiaππ€£
CHamsingi mfurahi mkuu,. Mie wala sina shidaLeejay49 huu uzi ume zingua rafiki yangu, Kuna comments zina chekesha sanaππ€£
Basi inatakiwa uwe unaenda nao kwa taratibu huku ukifuatilia kwa ukaribu sana mienendo yao.Mpaka sasa hawajanifanya kibaya labda kama wawe na mpango wananiandalia kwa siri,.
Huwa wananipa connections na watu ambao wao wanawaita wakubwa kwa maana kwamba nikitoka nao nitapiga hatua lakini mimi huwa nakataa .
Na wengine msome pia Manyanza DR SANTOS mshamba_hachekwi
na kikwete akamalizia kabisa kwa kusema "ukila kubali kuliwa!"..πNyerere alisema hakuna cha bure, mwinyi pia akasema bure ni ghari sana
Aisee, una tangaza amani, huku panga liko kiunoniπ€£πSasa wewe na matatizo yako ya sikio unatuletea mtandaoni badala ya kwenda hospital....do you think we give a phuck??
Nina tatizo la sikio
Habari, Naomba msaada Nimetoa uchafu kwenye sikio siku nne zilizopita. Nahisi nimetoa uchafu kupita kiasi sasa sikio langu hadi leo halisikii vizuri linanipa shida sana.www.jamiiforums.com
ππ nilijua tuu, sasa we usiwapotezee wala nini kama wana ku support ila sasa kuwa makini usiamini mtu kabisa hasa mnapokula au kunywa ukienda chooni usiache kinywaji chako kunywa umalize ukirudi unafungua chupa nyingine na ukiwa nao usiwe unakunywa kupitiliza kwasababu kuna siku utajikuta una amkia hotel pembeni upo na libaba na hukumbuki ulifikaje. Jitahidi tuu uishi nao kwa akili,uzuri unaokena huna tamaa maana saa hizi ungekuwa ushapelekwa mpaka Dubai kula mavi π€£π€£π€£π€£Walijaribu lakini nilifanikiwa kuwachengaπ
Hapa kuna vitu viwili either abe eshwe mzigo wa madawa au anyonywe papuchi na matiti na hao wadadaUnachokitafuta utakipata...
Utauzwa hamna cha bure, wanakulia mingo...
Tumesha zimaliza zote bro, tusubiri awamu inayo fata π€£πna kikwete akamalizia kabisa kwa kusema "ukila kubali kuliwa!"..π
Aisee, una tangaza amani, huku panga liko kiunoniπ€£π
namaanisha huyo Jamaa aliye sema hataki matatizo jf, wewe ume nda kufukua kaburi chapπDaaaah! Sijakupata comrade π