why sex enterpreneurs in versities?

elie

Member
Dec 17, 2010
9
0
i have come to realise that, sex enterpreneurs among versity students is now a normal thing to many youths.

nina wasi2 wasomi wetu tutakua kizazi cha namna gani, na tukabiliane vipi na changamoto hizi?
swala kubwa ni vitendo vya kukithiri kwa matendo machafu kwa wanafunzi wa vyuoni, wavulana wanalundika wasichana kwenye msururu,wakati mabinti wakifanya biashara tena wakiharalisha wazi wazi kwamba wanamake monies.
well nikitafakari hayo nitafanya utafiti Youths,Crimes and cities huku kipengere hiki kikipewa uzito.
mwenye mchango anakaribishwa
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,371
2,000
Yeah thats the reality,real life, you dont have to blame them but the existing socio economic structure,
And just to remind you, as I can see that this is your first post,you would have started in the introduction section but anyway you are welcome to the home of great thinkers.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom