Why nations fail??

Poa mkuu endelea kupata maarifa
 
Kumbe bila kusoma vitabu hivi, huwezi kuelewa kitu. Yaani mtaburuzwa tu, na layman kushangilia sana.
Alafu ukitoka hapo ukaanza kuwaambia ukweli wanaanza kukupa majina !!
Ohhh Mara bavicha Mara wivu wakati watu wengine mawazo huru !!
 
Afisa masoko mswahili aliyejaa ukoloni mambo leo kichwani akinadi kitabu kilichoandikwa na wakoloni wa kizungu kwa lugha ya kikoloni ya mwingereza
Sijaona mchango wa ajabu kama huu tena kwenye jukwaa la elimu. Kweli wewe ni Great Thinker. Unatumia key board iliyo tengenezwa na nani? Unatumia internet kuwasilisha michango yako iliyotengenezwa na nani? Unatakiwa ueleze mada ya humo ndani imepungua wapi baada ya kusoma hilo andishi.
 
Mkuu achana na mtu kama huyo hao ndo vilaz.a wenyewe na unakuta eti ana degree 2 bure kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…