Why music industry engages sexuality? why not football or golf, what's wrong with music?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wakuu,
katika uwanja mzima wa burudani, nimeona kuwa ni Muziki tu ndo unaotumia sex (hasa jinsia ya kike) kujitangaza, kujifanikisha, kuburudisha n.k. Kwanini industry hii ikumbatie sana ngono/kukaa uchi/nudity? mbona industry zingine zinapiga mzigo bila wanawake kukaa uchi? Is this nice really? or they use sexuality to cover how un-talented they are?

Napenda muziki but nudity in it turns me off. I don't see it professional, otherwise kuna ajenda ya siri. Mwanamke aliyeweza kufanya mziki bila kufunua funua mapaja ni Adele tu, what's wrong with this industry?
 
Umeona Tennis ya kina Maria Sharapova na Serena William, Martina Hings, na wengine!

Umesahua Sepp Blatter aliwahi kusema timu za wanawake wavae bukta fupi ili kuvutia mashabiki uwanjani!

Golf, unakumbuka scandal ya Tiger Woods, iliyomfanya aporomoke kimchezo...!

Ngono ipo kila mahali, na mavazi ya ajabu ajabu yanavaliwa kila mahali, not music tu
 
Kwenye music ni rahisi sana kupata cheap popularity.

Mwenye media au promota ataomba umpe uchi akupe free time hata kama huna kipaji. Usipompa hupati airtime na utapotea kimuziki.

Huoni hata vijana wa kiume ambao ni wanamuziki wanavyogeuzwa kuwa mashoga?

Msichana anavyojiweka uchi ndivyo anavyokuza soko lake.

Na hii sio Tanzania tu, hata nchi za magharibi zipo hivyo.

Ukilinganisha na michezo, ni ngumu sana kuhonga ili upewe favor kama ilivyo kwenye music. Huko wanaangalia kipaji chako.
 
Back
Top Bottom