MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Haaa hii sio haki tupo safarini nimeskia njaa gari
liakasimama kituo cha mafuta nikanunua viazi
vitamu vya kuchemshwa na mahindi ya kuchemsha
nikala baada ya muda akapndaa jamaa wa korosho
na jamaa wa mayai ya kuchemsha nikachukua mayai
mawili na korosho nikala,tulipofika sehemu ya msosi
kwakuwa nimeshiba nikanunua matunda
mchanganyiko ndizi,parachichi na
maembe,nikanunua na pepsi baridi nikarudi kwenye
gari nikala matunda'tukiwa njiani nikanywa pepsi
yangu nikapitiwa nausingizi nikalala baada ya muda
kidogo nikashtuka nikakuta kuna hali ya hewa nzito
na watu wanalalamika huku wananiangalia kwani ni
mimi tu ndio msafiri pekee yangu kwenye hilo basi
jamani whyyyyyyyy