Why me?


Ma dia tabia ya mtu ni km ngoz alishasema Mrisho Mpoto.. Huwez kuibadilisha. Ulichofanya kwa moyo wako its not bad. Amin Mungu ataulipia upendo wako na kukupa wa kuendana nae na atakuwa poa zaid ya huyo x.
 
Thanks @ atug, I'm tryin to patient and persistence that's all matter.
 
Ma dia tabia ya mtu ni km ngoz alishasema Mrisho Mpoto.. Huwez kuibadilisha. Ulichofanya kwa moyo wako its not bad. Amin Mungu ataulipia upendo wako na kukupa wa kuendana nae na atakuwa poa zaid ya huyo x.
mhhh mbona una signature yangu?
 
sokwe, swali moja kwako toka kwangu.
Una binti mwingine au ushaoa?
narudi ukishajibu
 
Last edited by a moderator:
Sijaoa wala sina binti mwingine kwa sasa @ hekimatele.
 

Sasa sokwe kwa hili waomba ushauri upi? hii ni dalili ya mtu ambae anakosa maamuzi hata kwa jambo dogo
 
Ina maana siku zote ulikuwa hujapata mwingine, ulikuwa bado unaomboleza? Kama uliomba upewe chance tena haya chunwa halafu akipata tena kazi nzuri akukimbie!

Mtu anayependa kujipima kwa anachopata, si binadamu na hana huruma, HABARI NDIO HIYO?
 
Mkuu naomba umsaidie tu kama kweli upo kwenye nafasi nzuri ya kufanya hivyo si vema kuhesabu mabaya uliyotendewa kwa wakati huu
Hakika nakwambia kama wanadamu tusingekuwa na roho ya kusamehe na tukaendelea na maisha yetu dunia hii ingelikuwa ni sehemu moja ya ajabu sana
Tenda wema pasipokutegemea return yoyote
 
I'm a little bit skeptical but I might consider helping her but my heart is heavy, thanks for ur advise @ mwanaka.
 

Kila demu ana zoba lake, wewe ndo zoba la huyo dada! Akiwa na matatizo anakutafuta! Nina uhakika utamsaidia then atakukimbia tena, we si Zoba wake bwana?
 
Kwahiyo na wewe ni zoba wa mtu? @ kinigini. Usijari ni maisha tu...tuna mitazamo tofauti.
 
Very simple answer, mwambie I don hv money!



are you now up to her standard?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

mpe tu kwani toka mwanzo ulishaonesha nia ya kumsaidia fanya kama unasaidi mtu asiejiweza nna usisubiri shukurani.. ndio maana unnaambiwa tenda wema uende zako kwani shukrani ya punda ni mateke..
 
Kwahiyo na wewe ni zoba wa mtu? @ kinigini. Usijari ni maisha tu...tuna mitazamo tofauti.

Elewa kila demu ana Zoba wake. Sasa kuna mazoba ambayo hayajapata wamiliki, mi ni mmoja wa hayo ambayo hayajapata wamiliki.
 
Na Mimi sijapata kwa sasa mkuu @ kanigini ila nafikiria kibinadamu tu, uenda amebanwa sana.
 
Narudia tena mistari ya marehemu (RIP)

Kimbia fasta, toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia najua utavumilia.
 
Hio ni tabia ya wanawake weng hata ukimsaidia tena kuna cku atausahau msaada wako kama mwanzo! Hivo fanya vle kam moyo wako unavoku2ma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…