Why me?

sokwe umekosa ndugu wa kuwasaidia? She's in deep sh.it, let her deal with it. Ulifanya kazi yako wakati ulipokuwa nae. Sasa wasaidie wale wanao appreciate msaada wako.
 
Last edited by a moderator:
I don't love her fyddell, but I'm sure she knows that I'm too kind, ila kwa hili sitoweza, I appreciate for ur advise tho.

To be kind won't change the fact that she hurt you n pushed you away. To be kind won't make her appreciate you. She's using it as a point of your weakness. We angalia hapa kila mtu anakwambia achana nae neither receive her calls nor reply her texts back. She will just be wasting your time dude.
 
Nimekusoma hp1, Asante kwa ushauri makini. I just blocked her number ila nafikiri amegundua sasa anapiga kwa namba tofauti natamani nibadilishe namba ila ngumu kwasabab nawasiliana na watu wengi kwa namba nayotumia, sijui hata anafikiria nn seriously anarudisha Hali fulani.
 
Achana Nae, mwambie ulisha ng'atwa na nyoka ukiona kijani unashtuka. Akatafute msaada huko huko alipokuwa abalingia
 
I got you fyddell.
 

Huna ndugu wa kuwapa msaada? Ukiona mtu hana shukrani, haina sababu ya kurudi tena coz hata umshushie mbingu hawezi kukishukuru. Utazidi kuwa mtu wa kutatua matatizo yake tu. Angalau basi aonyeshe appreciation!
 
Ninao wengi wanaohitaji msaada wangu eli79, and they real appreciate for whatever I'm doin to them and it gives me joy to be able to support them, and keep workin harder.
 
 
You're so generous man can you offer me 500$ as a loan as am jobless?
Nilichogundua ni ngumu sana kwa wanaume to let it go hasa pale ambapo binti ndo alivunja uhusiano.

You seem to be in love with her you only wants justification ya some opinions
 
Mwache afanye yake, na wewe ufanye yako. La sivyo hakawii kukuumiza zaidi ya alivyokufanyia mwanzoni.
 
That's what I'm goin to tell her today, just tired of her bullshit, nimekuelewa sana Mgibeon kwa kuwa wewe ulishafikwa na Hali hii unaweza pata picha ninavyopata shida na simu zake.
 
sokwe kama unajisikia kumsaidia wewe msaidie tu;
Elewa kwamba safari ya maisha yenu bado ni ndefu.
 
Last edited by a moderator:
... mwambie nipe nikupe.....akijichanganya ndo mahali pa kumuumiza na yy,,, unapiga then unampa noti feki......akafie huko mbele....
 
Ninao wengi wanaohitaji msaada wangu eli79, and they real appreciate for whatever I'm doin to them and it gives me joy to be able to support them, and keep workin harder.

Kaka... Listen carefully.... Huyo mwanamke hakufai kwa lolote... Hafai kwa kulumangia wala kutafuna... Then mwambie ukweli tu... Unaona sasa anakufanya ufeel guilty.... Then trust me hakuna urafiki wa kawaida kati ya watu waliowahi kupendana au kua ktk mahusiano..

Huyo anataka akutumie kama steping stone ya kumfikisha ktk mafanikio yake maishani. Kuna tofauti kubwa sana kati yetu na hawa viumbe, hawana huruma hata kidogo.. Wanaume tumepewa turbo (hicho kidude kilichojitokeza ktk kolomeo) ili kitusaidie kukabili magumu... Jikaze kiume na kisabuni yatapita tu chalii angu
 
Mamndenyi hii ngumu kumeza, unajua huyu dada alikuwa ananifanya nijione very mean kiasi kwamba hata nilipokuwa namsaidia baba yangu ofisini nikiaikia yupo jirani najificha ofisini kwa huzuni sitosahau ila nilikwisha samehe na kusahau ila she just brought all the bad memory back and it real affect me to some extent.
 
sokwe kama unajisikia kumsaidia wewe msaidie tu;
Elewa kwamba safari ya maisha yenu bado ni ndefu.

No one knows about tommorow Mamdenyi... Huwa naukubali sana ushauri wako humu jamvini mkuu ila kwa hili amuache tu.. Unajua wewe huwezi kuhisi machungu ya kiume... Wanaume huwa tunaumia sana mbaya zaidi mosy of us huwahatuwezi kulia angalau kupunguza uchungu so hua tunasuffer consquencelly...
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa Mara nyingine tena Mgibeon kwa ushauri wako.
 

Kuwa na msimamo mtt wa kiume.... wacha kulialia hapa... hupendwi unang'ang'ania tuuu....bado hujapata demu for 10yrs.......?......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…