Why me?

hizo round nyingi pia zinapunguza uwezo, uwe unafanya kiafya siyo mashindano ni starehe.
 

Kwa anavyolalamika, huenda 3 mins for a round!!!
 
Nadhani tunachopaswa kuangalia ni je mwenzi wake analalamika? kama mwenzi wake halalamiki ila ni tatizo la yeye tu kutaka kujionyesha kidume inabidi abadilishe mawazo.

Round tatu kila mara sio healthy, kama wanakutana mara nyingi wapunguze idadi watazeeka mapema. Hata wazungu wanaopenda ngono kuliko huwa wana ratiba.
 
Bwana Sika hii habari ilishamtokea mshikaji wangu mmoja, yeye alikuwa hapigi hata moja, wewe shukuru unaweza hata kwenda kama JOGOO! Kama vipi nenda kamcheki huyo binti wa ndumba akusamehe, najua atakusamehe lakini atakupa masharti fulani fulani sasa inwezeakana ukayaweza au ukayashindwa.
 
Duh! Mkuu Invisible
Umenibadilisha kabisa leo! Big up man
Ushauri mzuri sana especially hapa "Umeambiwa wanawake ni wa kupooza machungu?" nimeipenda hii sana. Fide80, Masanilo, MTM mpo!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…