jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Umemaliza great thinker???? sina muda wa kubishana na ww.
hapo kwani umefanyaje? si umepost? muda unao!
Umemaliza great thinker???? sina muda wa kubishana na ww.
Huyu jamaa(jMali) anaumwa bado hamjaona tu..manake hii sikawaida, kila siku niyeye repeating the same music:
How Tutsi are bad, and trying to convince that he shared his evil views with all Tanzanians:
hapo kwani umefanyaje? si umepost? muda unao!
Ubishi fani yako malumbano ndio kula yako............... endelea kupondea while others enjoying.
Umemaliza great thinker???? sina muda wa kubishana na ww.
Huyu jamaa(jMali) anaumwa bado hamjaona tu..manake hii sikawaida, kila siku niyeye repeating the same music:
How Tutsi are bad, and trying to convince that he shared his evil views with all Tanzanians:
Watanzania hasa tunaoishi kagera tunakubaliana na #jMali
1. kwa kudandia treni kwa mbele sikuwezi. hata hujaelewa unajibu, hebu soma tena wewe.
pointi ni kuwa kama nyinyi mngekuwa mnafatilia ya kwenu huku kwetu mnafuata nini?
2. hapo kwenye "we are..." kila mtu anajua maana yake ni 2-3 tutsis and a multitude of IDs! :A S wink:
kwenu wap mkuu?
Well SADC sympathizes with elements of genocidaires. As for the rest of Africa, no one has ever given a *** to seeing Tutsi being persecuted and butchered dating back to the 1950's. Yet you wonder why Tutsi feel ostracized. Tutsi are like Jews, they have to be vigilant because the world has had the tendency to brook their suffering in time immemorial.
Si kweli kuwa Kagame na RPA ndio walibomoa uchumi wa Rwanda. Irresponsible Hutu leaders ruled that country since independence. That was an excuse by Habyarimana na his clique to incite extremism among Hutu because even they were divided back then. Unapoendesha siasa za chuki na visingizio, ni rahisi sana kutafuta scapegoat. Kagame has done quite to the contrary by reviving an otherwise bankrupt economy (after your FAR buddies looted all the reserves with the help of their French masters under the guise of operation Turqouise (sp) on their way to the DRC). Nenda Rwanda uone maendeleo ya kweli.
CNDP and M23 are just two of the more than 17 rebel groups. Matatizo ya DRC yalianza kabla hata Kagame hajazaliwa. Mnaposingizia all Congo's woes on Kagame you are not being serious for you cannot fool those of us who know. The DRC has always been a failed state. Chuki zenu hizi hamkuziona wakati Mobutu alipopeleka commandos kumsaidia Habyarimana kufanya counter attack. You lost the war and now the country is prospering. Na sasa deadline kwa jamaa zenu FDLR inaisha January. Vichwa vinawawasha manake mlikuwa wepesi sana kuwaondoa wapiganaji wa M23 but you are dragging your feet on FDLR and other DRC rebel groups that are not Tutsi. Aise, ubaguzi ni dhambi mbaya sana. Mlilianzisha, mkajiona wajanja kumbe werevu tulishawasoma. Kagame anawaangalia anacheka tu. You've done his bidding. Afterall, all he's ever wanted has been to be left alone. A safer eastern Congo, a safer Rwanda.
bibi yangu ni mtutsi...japo mimi ni mtanzania safi lakini hua niko interested kujua kinachoendelea na siasa za Rwanda na haswa wachangiaji wakubwa kama wewe n all the pro kagames nyie...ila kwa niliyo highlight hapo,napata mashaka kama chambuzi zako/zenu hua muafaka kweli au tu ni hisia na mihemko ya kibaguzi kama mnavyotuhumiwa!!nashauri msionyeshe sana mahaba as yanaweza fungua tukaona na ujinga wenu pia.jadilini hoja ili tunaowasoma kimyakimya tujifunze na kujuzwa...
Kwann usiseme Bibi yako ni mnyarwanda ukasema Bibi yako ni mtutsi?we unaona hiyo iko sawa au ndo unaanza kuweka element za kibaguzi hapo!
moja...wa tutsi wako rwanda,burundi,congo,tanzania na kwingine kote..sio kila mtutsi ni mnyarwanda.
pili.....kutokana na mtiririko wa arguments za hawea jamaa...niliona ni busara kusema hivyo isijeonekana nimechagua upande mkuu.
natamani kujifunza ila kwa muenendo huu wa hawa jamaa hali itakua ngumu kidogo.wana wahka an munkari mno
bibi yangu ni mtutsi...japo mimi ni mtanzania safi lakini hua niko interested kujua kinachoendelea na siasa za Rwanda na haswa wachangiaji wakubwa kama wewe n all the pro kagames nyie...ila kwa niliyo highlight hapo,napata mashaka kama chambuzi zako/zenu hua muafaka kweli au tu ni hisia na mihemko ya kibaguzi kama mnavyotuhumiwa!!nashauri msionyeshe sana mahaba as yanaweza fungua tukaona na ujinga wenu pia.jadilini hoja ili tunaowasoma kimyakimya tujifunze na kujuzwa...
Suala la bibi yako kuwa Tutsi halina uzito. Suala si uTutsi au uHutu au uTwa wa mtu. Sio kila Tutsi ni pro Kagame or RPF. Hii ni misconception ya kibaguzi inayoenezwa na genocidaire. Mimi namuunga mkono Kagame kwa kazi nzuri anayoifanya kwa nchi yake kama kiongozi shupavu mwenye kuweka maslahi ya watu wake mbele. Kagame hana mzaha wala masihara. There is simplistic notion that things in Rwanda are black and white or should I say Hutu and Tutsi. La hasha, complexities za politics in Rwanda are like any in any other country in the world. Tofauti ni uimara wa uongozi wa Kagame. The gist being, bibi yako awe mtutsi no one really cares. Hapa hatuangalii genealogy ya mtu, tunaangalia uzalendo. Mimi ni mTanzania kama wewe. For all you know I could be Tutsi, Hutu, or whatever. It does not matter.
... Kagame Is The Best Prsdnt In Africa.!!