why it is hard for me to forget the man i loved most?

why it is hard for me to forget the man i loved most?

Acha kuwa unamuonaona, tupa/choma moto picha zake, futa namba yake ya simu harafu muombe mungu akupe faraja.... Mie nna uzoefu kdogo kuachwa na kuacha hadi nshacha kuwaamini wa tz wa kike kwan hawana true love, kuoa itakuwa kama ajari vile. Poleeeee!
 
Migogoro imetoka wapi kama ulimpenda kwa dhati, utasema yeye ndio mkorofi, saa nyingine inabidi tukubali matokeo
 
Dadaa u av 2kn wat makes lov 2u both, zen wat z da problm az wel who z da main guilty among both henc take a constructive way, coz u neva kn if is a husbd of ur lyf. . . NOTE: gather wth ur bf and toko to al boz cde s/a 2get consesus. MO: pray 2 GOD.

Huwezi kuandika vizuri?? Hii kitu uliyoandika hapa inachefua sana..!
 
if you love him you will never forget him, I know what I am talking about coz I loved a girl but it was never meant to be, every one went on his/her own way.
It is almost more than two years now she still crosses my mind. Kila msichana naye kutana naye na kujaribu kuwa naye kipimo changu uwa namlinganisha na tha girl and still sijawahi penda wala feel kumpenda msichana yeyote kama nilivyompenda yule.
Naishi kwa kupretend tu. Hakuwa my first wala second wala third love but ka stick in me na sidhan kama ntakuja msahau
 
Sis hatuwez lumina njia inavyoonekana Bado una muentertain cox July mpk this yr n mbali sana MUDs unisons moyo wake ukichoka mwenyewe utatafuta n Huns gani ufanye maana n wewe mantras unaeweza kujisaidia...over...
 
Dadaa u av 2kn wat makes lov 2u both, zen wat z da problm az wel who z da main guilty among both henc take a constructive way, coz u neva kn if is a husbd of ur lyf. . . NOTE: gather wth ur bf and toko to al boz cde s/a 2get consesus. MO: pray 2 GOD.

Dah... Horibble.! Facebook
 
Sis hatuwez lumina njia inavyoonekana Bado una muentertain cox July mpk this yr n mbali sana MUDs unisons moyo wake ukichoka mwenyewe utatafuta n Huns gani ufanye maana n wewe mantras unaeweza kujisaidia...over...

What the hell..?? Ni nini kinatokea JF sikuhizi?
 
Hopefull, upo under 25, ukikomaa ukala chumvi, ukayaona mengi ... utamsahau kirahs! Ushaur wangu, endelea hvyo hvyo kumuweka moyoni, ukiwa ukikaribia kukuua automatically utaufungua moyo wako na utasonga mbele ...
 
Pole sana dadangu/kakangu kwa yaliyokusibu-sijajua kama ni mdada au mkaka.
Kwa sababu mi binafsi sijui tatizo leni au migogoro yenu ni nini, nakushauri kwamba Kaeni Pamoja mzungumze mpaka mfikie mwafaka mzuri.
Thanks
 
Nimesha acha, nimeachwa kwa kifupi nimekuwa sugu. Nyinyi wanawake tambueni kwamba sio kila mahusiano mwisho wake ndoa. Sisi wanaume tuna vitu vingi tunavyo viangalia. Ukiona migogoro ujue ujakidhi viwango alafu kukuchana live inakuwa tabu kuogopa kukupa pain sisizo na ulazima. Mapenzi ni maumivu, wewe umia mwisho utapona na kusahau kabisa. ukitaka umsahau kirahisi anza kumtukana na yeye atajibu mapigo ambayo itakufanya umchukie zaidi na kumhusahau kabisa.
 
Dadaa u av 2kn wat makes lov 2u both, zen wat z da problm az wel who z da main guilty among both henc take a constructive way, coz u neva kn if is a husbd of ur lyf. . . NOTE: gather wth ur bf and toko to al boz cde s/a 2get consesus. MO: pray 2 GOD.

could you please write something we can comprehend? Idiot.
 
I wish angejua unavyoteseka kwa ajili yake lol..

Na huenda huko alikokimbilia hapamfai pia.. Daaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
What the hell..?? Ni nini kinatokea JF sikuhizi?

nilifikiri ni mimi pekee najiuliza hilo swali kumbe na wewe unajiuliza....
i terribly regret that..post..tatizo hizi simu touch screen zinaweka prediction usipo cancel zinaweka maneno inayokisia yenyewe so samahani sikudhamiria kuandika hivyo over...
 
Aisee pole sana! Lakini haya mambo yana kwenda taratibu huwezi kumsahau kwa mara moja jaribu kujiweka busy kwenye shughuli nyingine!
 
Back
Top Bottom