flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 595
- 788
The traffic has progressively worsened in DSM over the past year, with indiscriminate construction work, and zero regard for the public. Construction takes forever to finish, imagine a significant Chato road is still under construction for three years and now its blocking Migombani road Mikocheni.
Wanaojiita Wenye Mamlaka na wanaohusika hawapiti njia?hawaoni?kwanini wanachukulia poa? kwanini tunataka majukumu lakini hatuna upendo kwa sisi wenyewe na raia mwenzako? kwanini tuko incompetent hata kwa vitu muhimu vidogo?
Tunalishwa nini watanzania tukiwa wadogo kiasi sisi kutufanya tuwe hatujipendi? No wonder ukifungua redio asubuhi ni michezo, kamari na habari nyepesi nyepesi?
Mi naamini watanzania wenye mapenzi, watumishi wazuri na smart wapo ila wameridhika na wanaumia chini kwa chini.
Writers, philosphers, doctors, walimu, wanasayansi na intellectuals wote, tokeni ongeeni na watanzania kwa kutumia technology iliyopo sasa, most Tz wana smartphone now, tengenezeni vipindi na content za maana, mijadala na uhamisishaji wa kuhoji na kuamua mambo.
Watanzania wanawalilia hawana option zaidi ya kuangalia content cheap zinazowafanya wawe docile and incompetent.
Tukifanya hivi leo na kutoa support kwa yoyote anayefanya positive na educative stuff naamini kizazi chetu kitabadilika sana. Tanzania inakua na inavijana wengi sana huku mablaza tuliyotoboa hatuwaangalii.