Hasira za nini anko? Sio mimi nilikuhadaa kwamba sijui Putin amewajibu Wakenya. π Waliotengeneza hiyo 'meme', walikuwa wananuia kuwaingiza box vinyangarika kama wewe. Ambao hawajui kufanya vitu viwili vitatu simpo sana. Vya kuwasaida kudhibitisha kama habari ambazo wameziona mitandaoni ni za kweli au ni FAKE NEWS.
Jombaa, hadi nakuonea wivu. Kama huwa unamiini kila jambo, ambalo unaliona mitandaoni virahisi hivyo. Mawazo ndani ya kichwa chako yatakuwa ni kama filamu moja kali sana. Ambayo ina action, drama, sci-fi, kila kitu hadi na horror, tena zote kwa mpigo. π
Is this sarcastic or an honest compliment?They know how to utilize their resources more effectively
Bado unaamini kwamba habari hizo zilikuwa za kweli? π Hebu itupie humu hiyo tweet ya 'Putin' tujiburudishe kidogo.Umeongea kwa hisia kali sana, lkn bado hujathibitisha kwamba ile ni Fake News.
Kumbe wewe pia unaamini ujinga huo uliotengenezwa na Mtanzania na kuwekwa mtandaoni?Kwa hiyo KGB kazi yao ni nini!!!? Wewe unafikiri kwa vile kiss haijui hata kusema priviet basi nao hawajui kitu kuhusu kenya na Afrika kwa ujumla.
Ni nani alisema kuwa na madini haipaswi kuzidiwa kiuchumi na nchi nyingine?Hatuna madini kama nyinyi lakini tumewapiga kwenye gdp, gni per capita na HDI
Kumbe wewe pia unaamini ujinga huo uliotengenezwa na Mtanzania na kuwekwa mtandaoni?
A fair enough argument, sober and objective.Ni nani alisema kuwa na madini haipaswi kuzidiwa kiuchumi na nchi nyingine?
Unafahamu kuna nchi nyingi tu hazina rasilimali za asili za kutosha na zinauchumi mkubwa sana?..
Ulishajiuliza kwa nini kuna nchi zilitoka kwenye uchumi wa viwanda na zikaegemea zaidi kwenye Financial Industry?
Hoja yangu kwa nyakati za sasa,natural resources dont guarantee economy well being ya nchi..
Watakuja wakwambie wao ni matajiri hawa watu ni kama mazuzu hivinimeangalia aljazera tv asubuhi wakenya milioni 3.5 hawana chakula wanasubiri msaada wa wfp .
Utajiri wa kwanza kwa nchi ni chakula cha kutosha watu wake Ndio inakuja huduma za afya , umeme , maji , barabara , reli , majengo nk
View attachment 2202184
View attachment 2202186
View attachment 2202483
View attachment 2202508
Kibera Billionairesπππ€£π
Why Kenya is so rich!!!??
Nimecheka kwa nguvu sana!
Mathare tycoonsnimeangalia aljazera tv asubuhi wakenya milioni 3.5 hawana chakula wanasubiri msaada wa wfp .
Utajiri wa kwanza kwa nchi ni chakula cha kutosha watu wake Ndio inakuja huduma za afya , umeme , maji , barabara , reli , majengo nk
View attachment 2202184
View attachment 2202186
View attachment 2202483
View attachment 2202508
Aljazeera na BBC walitangaza WFP imesema kuwa mataifa ya horn of Africa Kenya,Ethiopia,Somaliaa na Djibouti yanakabiliwa na ukame na balaa njaa.Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
Dada zao wamejaa Dubai mpaka wanakula mavi ili wapate pesaKenya hii hii tunayoijua au kenya nyingine
Hahaha doohDada zao wamejaa Dubai mpaka wanakula mavi ili wapate pesa