Labda niseme hivi, kuna ile kwa mfano mpo chuo au shuleni. Mnaonana tu mnajuana kwa sura, lkn hampo karibu kivilee wala hamsalimiani, lkn mnaweza mkajikuta mnakutana sehemu nyingine ya tofauti kabisa na chuo shule. Mkasalimiana hata na kukumbushana mlionana wapi!!!!