Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,783
- 2,207
Nimefanya punyeto tangu mwaka 2001 nikiwa form 3 hadi sasa nimemaliza chuo na skuwah kupata madhara yoyote kipind cha katkat mana madem zangu nlikuwa nawado na wanaridhika.Heeee mwaka jana mwishon na mwaka huu kimenikuta kisanga.Demu wangu ambaye nipo nae kwenye uhusiano kwa miaka 5 nimeshndwa kumfanya kabisaa maana tukitaka kuanza mchezo dudu inalala kabsaa.Hali hii ilipotokea mara ya kwanza nilipuuzia ila imejirudia kama mara 5 kila akija geto.Ni fedheha sana mtoto wa kike ushamnyegesha kapanua K Yake anasubiri uingie alafu wewe dudu inakusaliti kusimama.Daktar kanichek kasema misuli ya dudu imesagka sana. Mimi ni mlaji mzuri wa matunda,vitu asilia kama asali,mdarasini,juis ya alovera,karanga lakn punyeto imeharibu mishpa ya dudu kwa kiwango kikubwa.Nipo kwenye matibabu sasa na najuta kufanya punyeto na nawausia vijana wengne kutofanya hii kitu.Mwenzenu npo denja zone mda wowote demu wangu atanpga kibut.Watch out