Why inakuwa hv. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why inakuwa hv.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Tidito L, Sep 18, 2011.

 1. Tidito L

  Tidito L Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nimekuwa nikifatilia hv ni kwanini wanaume wanaenda kununua penzi kwa wanawake?nilowauliza 50% wanadai ni wanataka kupunguza sparm zao, wengine wanadai kupata ratha tofauti,wengine kutotaka usumbufu wa kuanza kutöngoza ihalali hela wanayo,wngn kunyimwa na wake zao majumbani. Wengn ni adicted kama kuvuta fegi, pombe nk.
  We unalisemeaje hilo.?
  Tafathali!! kama huna point kaa kimiya, usome za wenzio.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hii siredi ilishaletwa hapa hbu itafute upate majbu kupunguza watu kumaliza resources..................na siwezi kaa kimya coz huna hati miliki ya hii siredi
   
Loading...