Why in relationship for 5 years without marriage?

kunawanaoanza form 1 so form 5 waoe
 

miaka saba, no future plan, nyumba moja, kitanda kimoja, usije mliza dada wa watu umri wake unaenda, all the best.
 
Miaka mitatu mbona michache.. kuna watu engagement ring inatimiza jubilee kidoleni na bado hawajaolewa ila hawana wasiwasi
 
Hivi 'kila' relationship lazima iishie kwenye ndoa...hata kama ni relationship ndefu?!

Hapo ndo watu wanashindwa kuelewewa..sio kila relationship lazima izae ndoa...kwanza kuna watu wana nyota za mchepuko ila hawajijui..yani we kama una nyota ya mchepuko hata uolewe utaachika tu..bora ubaki kwenye relationship tu hata mtu akioa mwanamke mwingine we endelea kujiiba nae..some love meant to be hidden..ukili-expose tu linaota mbawa...
 
Kiserikali Ukiishi Na Mwanamke Zaidi Ya Miezi 3 Huyo Ni Mkeo Sasa Unaongelea Ndoa Ipi?
 
And you call her girlfriend...u tripping!



ha ha ha ha ha ........hata baada ya kumuoa bado atakuwa ni girfriend wangu its just a name........wala haibadili maana ya uhusiano wetu...............
 

Kama mwamnake ni wife material hicho kitu hakipo shida ni hawa dada zetu wengine ambao ni pasua kichwaa ukiona hvyoo ujue jamaa anakupa mda ubadilike afanye maamuz au ameanzisha plan B project unakaaje na mwanume zaid ya 3yrs kwny mahusiano ajakuonyesha dalili kama anakuo ujue unashida bidada jichunguzee nauko mbion kuachwa kwny mataa
 
i had been in a courtship for about 6 yrs b4 our marriage! and still we reached where we planned to reach, so to be in relationship for a year with bride price is not a guarantee kwamba mtaoana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…