Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,012 Dec 14, 2012 #8 ntaftie na mie one-way ticket yakhe/
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Dec 14, 2012 #10 Umependezewa na hizo features kama za kiarabu?
Allien JF-Expert Member Jul 6, 2008 5,546 1,861 Dec 14, 2012 Thread starter #12 Oooh Mamaa Nimebugiii Meeen!
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Dec 14, 2012 #15 mademu wa ethiopia nawakubali sana,kwa mtaa wangu wamejaa sana,kwa wana jf wanaotaka kuoa ethiopian wanishtue nitawaunganishia ili mradi awe na nia ya kuoa si kumchezea
mademu wa ethiopia nawakubali sana,kwa mtaa wangu wamejaa sana,kwa wana jf wanaotaka kuoa ethiopian wanishtue nitawaunganishia ili mradi awe na nia ya kuoa si kumchezea
Allien JF-Expert Member Jul 6, 2008 5,546 1,861 Dec 14, 2012 Thread starter #16 Hamna cha Kidoti wala Wema Sepetu wala sijuli Lissa Jensen wala Miss nini sijui . . . . Mtajiju . . . . zote kali toka kwa Haile sillasie!
Hamna cha Kidoti wala Wema Sepetu wala sijuli Lissa Jensen wala Miss nini sijui . . . . Mtajiju . . . . zote kali toka kwa Haile sillasie!