Lissu is a million miles better than the incumbent.... and this is from me, a CCM supporter!Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya " uana harakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya " uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu .
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urahisi, Hell No!!! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa Kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya watanzania Kwa Lissu ziende Kwa Nyalandu.
Kinachoangaliwa ni pesa baba. Lissu ana hela za kupiga Kampeni?Nyalandu ana tuhuma za twiga. Lissu ndio habari ya mjini. Nyalandu hauziki kwa wananchi. CHADEMA msije mkajiloga, mtajuta.
NEC itamkataaje? Labda iunde sheria nyingine tofauti na zilizopo.Wapiga kura wapenzi wa Chadema hawatawaelewa, ila kama kuna tatizo la Lissu kukataliwa na NEC .
Hata Magufuli alitakiwa awe waziri wa ujenzi tu hata kumpa urais ni kosa la karneLissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya " uana harakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya " uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu .
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urahisi, Hell No!!! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa Kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya watanzania Kwa Lissu ziende Kwa Nyalandu.
Kama unaamini Lissu ni mshindani wa Magufuli kwenye nafasi ya urais 2020, basi wewe utakuwa ni mjuzi wa siasa wa mtandaoni tu na sio site.CCM wanatamani Lissu asichaguliwe ili mwenyekiti wao asipate mshindani mahiri na anaekubalika.
Wanaharakati wengi huwa wanaishia kuwa madikteta. Huyo Nyerere unae msema alikuwa Dikteta. Kama unabisha muulize Alwatan Sheikh Mohamed SaidBora tuongozwe na mwanaharakati kuliko DICTETA.
Hata wewe pia unaleta blah blah. Ingekuwa hawabahatishi, wangekuwa tayari wapo pale magogoni muda mrefu.Unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu.
Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi.
Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Hell no! he was.Ooh really? Mwalimu Nyerere was an activist wasn't he?
Absolutely, I like you broh!Hata wewe pia unaleta blah blah. Ingekuwa hawabahatishi, wangekuwa tayari pale magogoni muda mrefu.
Magufuli ana hela za kupiga kampeni?Kinachoangaliwa ni pesa baba. Lissu ana hela za kupiga Kampeni?
What!?, Labda watanzania wa Jamii Forum 😆😆Wewe wasema lkn mamilioni ya watanzania wanahitaji kuongozwa na mh Lissu
Huwezi mlinganisha lissu na Jpm, kiuongozi lissu is much better.Jpm anaweza machache sio uongoziLissu is a million miles better than the incumbent.... and this is from me, a CCM supporter!
Acha kuingilia masuala binafsi ya mtu.Nyalandu aeleze alikwenda na Aunt Ezekiel, mke wa mtu Marekani kufanya nini?
Acha kuingilia masuala binafsi ya mtu.