Why I Spied For Israel! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why I Spied For Israel!

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, May 31, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  May 31, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mosab Hassan Yousef is the eldest son of a founder of the militant Palestinian movement Hamas.
  He grew up with privileged access to the inner circle of the Palestinian leadership.
  He was captured and tortured by the Israelis but then decided to become a spy for the Israeli secret service Shin Bet. Over ten years he became one of their most valuable intelligence assets.
  His life under threat, he embraced Christianity and now lives in America. He tells Zeinab Badawi how he feels about being regarded as a traitor to his family, his people and his faith
  .
  Watch the Video Clip below.
  [video]http://news.bbc.co.uk/2/hi/programmes/hardtalk/8675568.stm?ls[/video]

  Source: BBC HardTalk.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  May 31, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu Mpalestina "amesomeshwa" na Waisraeli mpaka amefunguka macho? Ameamua ku-change sides, kubadili dini na kuhamia kwenye nchi ya watu! Kaazi kweli kweli!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Waisraeli walimtesa sana, kama alivyodai yeye, lakini anadai kuwa hata Hamas ni watesaji wakubwa sana wa Wapalestina wenzao, "Torture is torture, whether it is from the Israelis or from Hamas, there are lot of news that are hidden from the public view, there is a lot of corruption!" Alisema ndugu Mosab Hassan Yousef!
   
 4. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  very good. mbona kuna wengi tu, tatizo linalofanya hawa kuendelea na makelele na kulialia ni elimu, ukiwasomesha hata hawa wa bongo mbona icho kitabu cha kusomea albadili wanakibwaga chini, ni elimu tu imewafunga.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Huyu mpumbavu wa Kipalestina anawauza Wenzake kwa sababu ya pesa. Hata wewe Buchanan unaweza kuwa Jasusi kwa nchi nyingine ukaiuza nchi yetu kwa sababu ya pesa una njaa itakuwaje huyo Mpumbavu awauze wenzake kwa sababu ya pesa? waisrail walimtesa sana kisha wakamuachia ili awe Jasusi wao awape habari za Hamas laiti nikimuona mimi huko Los Angeles alipojificha nitamkata Kichwa chake hafai kuishi hata siku moja Jasusi wa Wapalestina anazungumza na Bi zainabu Badawi bila ya kuogopa ngoja tu utasikia tumekikata kichwa chake atakufa sio muda Mrefu kuanzia sasa Tumesha mjuwa kuwa yupo Los Angeles tutamuwinda na kummaliza sio muda mrefu kuanzia sasa jasusi wa Wa israil.:angry:
   
 6. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Buchanan, be careful with this guy, anatangaza kukata mtu kichwa.....na anaweza kufanya hivyo kwa moyo wote na bila hatia kulingana na kitabu cha dini yake wanachosema ni kitakatifu....tukiwaambia kitabu chao ni cha chinjachinja shetani wanabisha, unaona sasa mafundisho ya jihad hayo...na baada ya kumkata kichwa atapata mabikira kama sabini ivi wote wa kwake...hahaha.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Hata wewe Ukiwa ajent wa waisrail kuwamaliza wapalestina tutakata Kichwa chako ,hatuzungumzii mambo ya Dini hapa. hapa tunazungumzia kuhusu Ujasusi na huyo Jasusi wa Waisrail inakuwaje kwa Mfano wewe Mpeni sifa Yesu ni MTanzania halafu uwe jasusi wa Maaduwi wa Tanzania unafikiri tutakuacha uwe huru hata hapa kwetu Tutakukata Kichwa chako kwanini wewe ni Mtanzania Kisha uiuze nchi yetu kwa maaduwi zetu kisha tukuachie uwe huru kichwa chako kitakuwa halali kwetu hapa hapa bongo tutakutafuta popote ulipo ukatwe Kichwa chako kwa sababu umekuwa jasusi Mtoa habari kwa maaduwi wa Nchi yetu hufai kuishi kuwa makini sana usijaribu kuwa jasusi hata siku moja Mkuu Mpeni sifa Yesu Asante.
   
 8. d

  damn JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwa taarifa yako huyo jamaa atakatwa kichwa na mwanamke. ...naye atapata mabasha sabini?..........what a cultic religion
   
 9. d

  damn JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kakate vichwa vya mafisadi na wanasiasa kwanza!
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  kama chama kingine cha Siasa kitatawala hapo kwetu Kinaweza kufanya hivyo Sio Chama Cha CCM kwani hicho chama Cha CCM kina Viongozi Wafisadi wengi Ukimuondowa Rais, Waziri Mkuu na Spika wa bunge waliobakia wengi wao ni Viongozi Wafisadi wanaopenda ubinafsi Ningelikuwa mimi ni Rais ningewafagia Viongozi Wafisadi karibu wote lakini mimi sipo chama chochote kile mie ni Bendera tu Hufuata upepo.
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Jun 2, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Inakubalika ku-change sides kama kuna watu wanatenda kinyume na wanayoyasema kama Hamas wanaoua wenzao wasio na hatia! Huyu bwana amebadili "allegiance" yake kutoka nchi ya Palestina hadi ya Marekani!
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jun 2, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Usijali ndugu yangu, vitisho siku hizi havifanyi kazi, atawatishia wangapi, maana watu wengi wanaukimbia uislamu! Hata huyu Mpalestina alikuwa anatishia watu wasio na hatia kabla ya kuijua kweli! Tuendelee kuwapa Habari Njema, wataijua kweli, nayo itawaweka huru!
   
 13. P

  PWAGU Member

  #13
  Jun 3, 2010
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku zote mjinga bado amecrame elimu elimu. Umefanya vizuri research yako na kugundua ndugu zako wangapi hawana hiyo elimu au wakiristo wangapi hawana elimu, limbukeni huyu wa mjini ambaye hata haendi vijijini na kuona watu walivyochakaa bila ya elimu bila ya dini. Hii chi ina shida wenye elimu tanzania wanafikia hata 5%. Hawa ndio wale wasiotumia vizuri hata hiyo elimu ndogo aliyonayo.
  Mjinga kama huyo hajui elimu ya mtu inatakiwa kukomboa wengine wakiwapo ndugu zako uliowatelekeza huko bush. Sio mimi na elimu hata certificate unapiga kelele humu.
  Funua akili yako usiwe limbukeni.
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  asilimia 70 ya viongozi wa ccm ni waislam, kwahiyo tuseme waislam ndo mafisadi au? halafu, unamtishia nani nyau unahangaika kusema utakata watu vichwa,...ushetani huo mtaacha lini?
   
 15. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama nawe ulivyosomeshwa na kufumbua macho. Hongera kwa kuona na muono makini na wa kimaendeleo kama wako. Tuna mengi ya kusoma kutoka kwako.

  omarilyas
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nani alisema kitabu cha waarabu ni kitakatifu? Kitabu kitakatifu ni biblia tu. Vingine ni VITAKACHAFU.
   
Loading...