Bluray hii mada ni pasua kichwa. Ninachofahamu mimi ni kwamba neno "Mungu" kila mtu analitafsiri kivyake kulingana na uelewa unaotokana na mazingira yake. Ukristo na Uislam zote ni dini ambazo hazina umri wa zaidi ya miaka 2000,tujiulize kabla ya hapo na kwa kuwa binadamu wamekuwepo miaka mingi tu je baada ya kufariki nini kilikuwa kinawatokea (maana ndo zinafundisha hell na heaven),nauliza hivi kwa sababu Yesu alisema "mimi ndio njia na uzima,mtu haendi kwa Baba ila kwa njia ya mimi",sawa tumkubalie,lakini je waliotangulia mbele ya haki kabla Bwana Yesu hajaanza kufundisha walikwenda wapi? Bluray,msingi wa dini ni imani na siku zote imani huwa inaishia pale mtu anapoanza kufikiri,faith na thinking ni maji na mafuta! Russel utaona katika conclusion yake anataka binadamu wafikiri badala ya kuamini,sasa kama ni hivyo Russel atueleze kufikiri na morals (mpende jirani yako etc) vinaendana? Binafsi naona dini zina nafasi yake katika jamii na kufikiri kuna nafasi pia,kikubwa ni kubalance badala ya kufuata kila kitu eti kwa sababu Padre au Sheikh kasema maana tukifanya hivyo tutaishia kujilipua mabomu eti tunatetea Uislam au kujishindilia misumari eti tunakumbuka mateso ya Yesu na on the other side tuki fikiri sana tutaona hata kubaka ni sawa tu kwa kuwa mwili umekuwa na matamanio!
Very clear thinking, very valid concerns.
Nafikiri faith inatulemaza tufikiri kwamba hatuwezi kuwa moral for goodnes sake. Moreover faith, hata kama ina play a good role, role hii inaharibiwa na its fraudulent nature (kwangu mimi nisiyeamini) halafu inatuuzia fantasy ya kutu bribe na mbingu, "kuwa mtoto mzuri nitakuletea pipi" style, mwishowe mtoto ukishamzoesha kwamba kuwa mzuri ni means ya kupata pipi ana devalue kuwa mzuri for kuwa mzuri's sake na anaona kuwa mzuri is just a means to get to heaven / kupata pipi.
this is what is happenning currently in the Judeo-Christioan system, watu wanaacha kutoa kwa sababu kumsaidia mwenzako ni vizuri, wanatoa kwa sababu mungu ana keep score, na usipotoa utaenda motoni, which is a lie of course, kwa hiyo kwa kutoa selfishly wana demean real value ya kutoa.
Mimi nafikiri mwanadamu ana potential kubwa ya kuwa moral, just from reason, it is even in our own interest to be moral and there is nothing that works better with humanity than self interest. It is even better when this self interest can be perpetuated by genuine altruism.
Kwa hiyo faith kwanza inatulemaza, hata kama inatusaidia mimi naona iko fraudulent, na mara nyingine ni vizuri kuishi na ukweli mbaya kuliko uongo mzuri.
Kuzungumzia the merits/ demerits of faith per se, and as a means towards greater good, without examining whether the structure on which that faith is built is legitimate or fraudulent is very unfortunate.
This same argument is used by totalitarian regimes to oppress it's people in the name of greater good and such concepts as "national security" by which great lies are kept alive.
The churches and the intelligentsia/ illuminati are basically doing the same thing, by using the name of god.I even had one respectable church elder admit to me that "god was too important an invention not to be invented" in other words, god is not real but he serves such an important purpose, namely to keep order and give hope and meaning to life, that it became very necessary to invent him. This same person went on to say that the most learned of men, especially men of the cloth, popes, bishops, statesmen etc are simply too versed in theology to not know that god does not exist, they know that god does not exist, but they want to continue with this lie just to keep tradition and maintain order.The most learned people who know that god does not exist cannot imagine a godless earth simply because they are underestimating the ability of humans to do good therefore they support this god fraud.
I think the human race has reached a point where it can gradually start to appreciate that god is a fictitious character, and that we humans have the ability to do good for goodness sake, and that even if we can't, a bad truth is better than a good lie.
Truth should be paramount, and not subject to the machinations of the intelligentsia and men of the cloth.