Why hii sheria isije Tanzania

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
For all living in UAE:

Yesterday there was a law passed in UAE that if any one Writes or forwards any msg on any social networking (wats app, Facebook, Twitter) about any religion by defaming them or their belief's or is involved in any kind of any harsh religious comments which can hurt any religious sentiments or practices will be jailed up to 10 yrs with a fine ranging from Aed 50000 to 2 million, requesting every one to plz refrain from forwarding any such msgs this is not a forwarded msg below is the link.

Anti-discrimination law enacted across UAE | The National
 
Sioni kama ina mantiki yoyote, make dini kama literature ili kubalance baadhi ya mambo lazima unukuu baadhi ya vifungu, au ili kuonyesha kuwa uko sahihi katika kile unachoamini ni lazima ukosoe kwa namna moja au nyingine. Hivo basi hii sheria unapolilia kukumbuka inaweza kukuta hata wewe. kimsingi dini zote ni Ideology kama sio theology. Mfano kabla ya kuja kwa wa misionari wa kizungu na kiarabu si babu zetu waliabudu? so vile tambua kuwa pengine mpare wa suji kama angezaliwa Dar, pwani au mtwara kuna uwezekano mkubwa angekuwa Muislam, na Pengine mzaramo angezaliwa musoma pengine angekuwa mkristu, Mimi naamini Mungu ni wa kila mtu tuache kuchimba chimba haya mambo ya dini Tunayaona yanayotokea kwenye nchi za wenzetu watoto na wajukuu zetu hawatokuwa na pakumbilia.
Hebu iangalie Dar es Salaam wanaojaza foleni hapa sio wazaramo wala wadengereko ni watu wakuja. Jamani nachukia na sipendi post yoyote inayochokonoa mambo ya dini. Ya United Arab Emirates tuwachie wao.
 
Back
Top Bottom