mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
"....lakini Messi hatujui kama akiacha Barcelona atakuwa a player he is today...."
Huyu ni mshabiki wa man u yenye gigs na scholes! Hapa anajaribu kujifariji kwa ndoto za mchana! Sasa wewe mtoto wa swekeni si ufurahi basi kuwa Messi si lolote CR ni zaidi yake?! Kinachokusumbua nini wakati cr kacheza ligi tatu tofauti?! Vipi babu yako wa man u kafundisha timu ngapi Ulaya? Au yeye siyo kocha bora??
ilibinaadamu yeyote athibitishe ubora wake kwa chochote anatakiwa akabiliane na changamoto tofauti tofauti.siokila mtu atakae toa ushauri kama huu anamchukia messi ubora hupimwa kwa mitihani tofauti kaka.ronaldinho alitamba sana barca alipokwenda italy amefanya nini au huko alipo anafanya nini,msikwepe ukweli kwa kuwapakazia watu wivu kwa upenzi uliopitiliza.messi anatisha lakini angekazia kidogo uthibitisho ndivyo soka ya kileo inavyopimwa,nani asiyejua ligi ya hispania ni ya kike siku hizi ligi ya timu mbili kama ya mbuziWachezaji wengi tu wamecheza timu moja career yao yote! Sio issue yeye kukaa barca maisha yote
Mifano ya wachezaji kama Paolo Maldini,Gigi Buffon, Del piero,Scholes,giggs,gerlad,Lendley king,nial Quinn,Terry na wengine wengi
Messi is royal to Barca wamemtoa mbali alikuwa hakui alipokuwa kijana mdogo wakamtibia leo amekuwa star akimbie? For god seek
C.Ronaldo ni mchezaji mzuri ila messi ni bora zaidi yake-dino zoff (kipa gwiji wa italia)
Kuhama league kwa CR7 si kigezo cha kuwa mkali kuzidi messi, wengi wasiompenda messi huja na Argument ya kitoto kama hii
big up to the Little magician,el maginifico,Andunje,baba Thiago a.k.a Messi
hakuna asiyenunulika kaka kamahuna hela ni wewe waambie watangaze wanamuuza uone.Ebu jiulize klabu gani inaweza kumnunua Messi? Na kwa shillingi ngapi? What i can see now he is totaly unbuyable!
kocha huthibitisha ubora kwa vikombe mchezaji huthibitisha ubora kwa kucheza ligi ngumu tofauti tofauti."....lakini Messi hatujui kama akiacha Barcelona atakuwa a player he is today...."
Huyu ni mshabiki wa man u yenye gigs na scholes! Hapa anajaribu kujifariji kwa ndoto za mchana! Sasa wewe mtoto wa swekeni si ufurahi basi kuwa Messi si lolote CR ni zaidi yake?! Kinachokusumbua nini wakati cr kacheza ligi tatu tofauti?! Vipi babu yako wa man u kafundisha timu ngapi Ulaya? Au yeye siyo kocha bora??
kocha huthibitisha ubora kwa vikombe mchezaji huthibitisha ubora kwa kucheza ligi ngumu tofauti tofauti.
lakini kwa mechi chache na za misimu sio mikiki ya full msimu kama hispania.Na hili kalithibitisha kwa kucheza Champions League yenye kukutanisha vilabu bora vya mabara na nchi nyingi!!!!
ilibinaadamu yeyote athibitishe ubora wake kwa chochote anatakiwa akabiliane na changamoto tofauti tofauti.siokila mtu atakae toa ushauri kama huu anamchukia messi ubora hupimwa kwa mitihani tofauti kaka.ronaldinho alitamba sana barca alipokwenda italy amefanya nini au huko alipo anafanya nini,msikwepe ukweli kwa kuwapakazia watu wivu kwa upenzi uliopitiliza.messi anatisha lakini angekazia kidogo uthibitisho ndivyo soka ya kileo inavyopimwa,nani asiyejua ligi ya hispania ni ya kike siku hizi ligi ya timu mbili kama ya mbuzi
Mnamzungumzia MeSSi anayebahatisha magori na selfish wa kutupwa? au Magori yake hayana msisimuo wowote alimradi atumbukize tu pole pole... aende iTalia akaone soccer huko lilivyo gumu au mwambie ampigie simu Diego Forlan
hakuna asiyenunulika kaka kamahuna hela ni wewe waambie watangaze wanamuuza uone.
umuhimu wake ndio utafanya barca wamzuie sio watu wakose hela ya kumnunua halafumimi ni mpenzi wa mke wangu sio ronaldo najaribu kujadili hapa kama mtu wa mpira kwa sababu nafurahia zaidi ushindi wa timu yangu kuliko mchezaji mmoja mmoja ila ninachoamini mimi england au ujerumani asingefunga hivyo kila siku na au angekuwa na majeraha tayari kulingana nautaalamu wake.messi wa sasa labda anunuliwa £150 million we mtu gani anapiga goli 25 ndo kwanza ligi iko december
aondoke kwa nini na barca ni mchezaji wao muhimu a.k.a record breaker! Na je kama ana furaha ya kuchezea barca maisha yake yote?
Poleni sana mashabiki wa CR7 mwaka huu andunje anakomba tuzo zote mlie tu
dah yaelekea unampenda messi kuliko mungu maana una hasira maana yaelekea mtu akitoa maoni tofauti na wewe ni adui.hatuwezi wote kupenda kitu kimoja dunia ndivyo ilivyo punguza tu hasira kwenye majadiliano.we nae wivu tu na andunje messi...Mbona Kaka alitoka huko huko italia amekuwa galasa La liga? Unamkumbuka Cassano alivyohamia madrid akitokea As Roma? alifanya cha maana kipi pale Real Madrid?
Eti Messi anabahatisha kweli we ni hater wake mbona wengine hawabahatishi? Na je mtu anaweza kubahatisha kuwa mchezaji bora wa dunia x3, ulaya x3, argentina x3 mfululizo? Na bado utapungua kilo nyingi kwa kumchukia mnyama MESSI a.k.a El maginifico
mshamba siku zote humuona mwenzie mshamba kuzidi,lini uliona uingereza au ujerumani mshindi wa kwanza akawa na pointi labda 40 wa pili 27 halafu anayefuatia hazitajiki ile sio ligi ile ligi haiwezzi kuwa na tumu mbili zinapishana kuchukua kombe hii ikichukua misimu mitatu hii inajipanga inachukua miwili.au kuna kipindi huyu akishinda goli sita huyu anapiga tano hapo ukute messi kafunga matatu ronaldo naye matatu.kuacha sevilla kuchukua kombe kipindu fulani ni lini walitwaa tena zaidi ya mashindano ya barca na real.kitendo tu cha timu mbili tu kushindania kombe tena kwa kuwaacha wengine mbali kwa pointi kunaifanya ligi ya hispania kuwa ya mbuzi.ubora wa barca na real ni wa timu na timu na sio ligi.we acha ushamba eti ligi ya kike? Na ubora tunaupima kupitia qualification kuingia knock out stages ya UCL mbona zimeingia timu 4 yani Barca,malaga,Real Madrid,Valencia? Uingereza Man city na Chelsea wametupwa nje?
Last season Athletic Bilbao walifika Final na Atletic Madrid bado unazipima eti timu laini? We jua kua Real madrid na Barca ni timu ngumu zaidi katika La liga
na kama ya kike mbona Real ameachwa point 13? Wakina nani walimshika shati? Sevilla,levante,espanyol au barca?
DOGO yuko Royal kwa walivumbua kipaji chake, pesa anapata nyiiingi ahame ili iweje?
MAGWIJI wa soka wote wamenyoosha maelezo kuwa dogo ni mkali ispokuwa haters kama nyie alafu wengi wenu ni Manure,chelsick au shabiki wa Madrid
Ebu jiulize klabu gani inaweza kumnunua Messi? Na kwa shillingi ngapi? What i can see now he is totaly unbuyable!