hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Ndugu zanguni
Mwenyezi Mungu huwa anaghaili katika ahadi zake
Kwa mfano katika familia ya Haruni(walawi)
waliokuwa wakitumika madhabahuni kwa bwana
Dhambi ya uzinzi ndio iliyowaangusha.
Na Gwajima kinachomtafuna ni
Dhambi ya uzinzi
Mungu hadhihakiwi.
Kikwete alizimia, Mugabe hakuzimia tofautisha bana!!
Mi yangu mimacho tu, viongozi wote wa kidini wanaotoa matamko kuhusu mambo ya kisiasa hawajui wajibu wao. Maaskofu wote waliosaini huo waraka hawana akili waliokuwa bunge maalum hawana akili. Kaeni muhubiri injili acheni umbea[/QUOTE]
Injili ni pamoja kuhakikisha maisha ya watu yanaboreka kiroho na kiuchumi.
...but when police began questioning him about his wealth is when his health status suddenly changed as he was sweating profusely... I REMEMER THE GUY SAID "... SIOGOPI POLISI WALA MAHAKAMA, WALA BUNGE..." why then sweating profusely ?
Inakuuma eeh!!are u sure? chunga mdomo wako
31Wakati unakujanitakapozipunguza nguvu zenu na nguvu yanyumba ya baba yenu, ili pasiwepo mtu katikambari yenu atakayeishi kuuona uzee 32nanyimtaona huzuni katika makao yangu.Una hakika kuwa amezini?
Au unashuhudia kutokana na magazeti ya udaku?
Umetofautisha au umefafanua zaidi?
Mi yangu mimacho tu, viongozi wote wa kidini wanaotoa matamko kuhusu mambo ya kisiasa hawajui wajibu wao. Maaskofu wote waliosaini huo waraka hawana akili waliokuwa bunge maalum hawana akili. Kaeni muhubiri injili acheni umbea