Why Foreign Diplomats must handle Zitto Kabwe with care

Leo World bank wamemuacha kwenye mataa
 
Ilibidi ni google ? Okumu Okwede
Matokeo ni kuwa sijaona hilo jinapopote kwneye article yeyote, je ni bahati mbaya au huyu ni mwandishi mpyaa
 
It is true 100%
 
kiingereza kilicho tumika ni kiingereza chetu hapa hapa, hakuna mtu mwingne wa kuandika kiingereza cha namna hii zaid ya mtanzania

Uchanganyaj wa mada pia, ni mzawa wa hapa hapa kaandika haya

Kina Polepole hawa
 
Rotten shit and cheap propaganda that sounds nonsense can't pull Zito Kabwe back to Lumumba's stupidity.Bravo Zito,bravo opposition for your awakening alerts to king Juha's reign.PATHETIC.Tunawahitaji watu kama Lisu na Zito.Period.
 
Zito amekuwa mtu mzito haswa kwenye sekta ya kuzusha mambo yasiyokuwa na ukweli wowote usipo msoma au kumsikiliza kwa makini unapotea
Acha umavi wewe.Unajitoa ufahamu sio?.Tumia moja ya milango yako ya fahamu katika hilo.Acha kujitia uwendawazimu.
 
Daaah angalau na sisi tumepata ya Kingereza angalau kumsafisha kiongozi wetu na kumdondeshea zigo Zitto.. maana makala za ngeli zote ni kumponda mpendwa wetu tuu.. Asante sana mwandishi. Umetoa claims japo nyepesi bila ushahidi lakini umetufanya tutembee mbele na sisi kuonyesha wengine makala
 
Why Foreign Diplomats must handle Zitto Kabwe with Care
JINOME, could you be so kind as to give us a link to this article purportedly written by one, Okumu Okwede? The reason this could be important to us here in JF should be obvious to anybody with hindsight and mental image. It is my suspicion that Okumu Okwede is just a figment of your imagination and I challenge you to prove me otherwise. Chances are you are underestimating the intelligence of JF members and you have no idea to what extent some of us would go to to prove the authenticity of this article.
 
Give a dog a bad name and ............!
 
Hakuna diplomat atayesoma zaidi ya sentesi 2 kwenye haya mashudu.
 
Huwa nacheka sana, Eti rais na n wazir wa mambo ya ndani wanawaambia mabalozi Tanzania ni sehem salama wajisikie nyumban...Tunawaona hao wazungu kama wasukuma vile hawaoni kinachoendelea, Hongereni mnajitahid kupepesa macho lkn bdo jahaz linazam taratibu, hakuna atakayebaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…