Why doesn't Morocco join the African Union?

Why doesn't Morocco join the African Union?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Morocco is the only country in Africa who's not a member of the AU, I mean what does it hurt to join the AU? is it because Morocco wants to join the EU? lol haha that would never happen.

Would joining the AU benefit Morocco in any way?

It was just something I was thinking bout.

Thanks.
 
Moroko wana ugomvi na AU kwa kuwa wao wanasema SAHARA MAGHARIBI ni eneo lao , wakati msimamo wa AU ni kuwa ipigwe kura ya maoni kuhusu suala hilo, Moroko inasema raia wake ndio waulizwe wakati UN/AU wanataka wasahrawi ( wasahara magharibi) ndio wapige kura hiyo. Kumbuka kuwa Moroko ni rafiki mkubwa wa marekani. Hii ndo inapelekea Moroko kutojiunga na AU
 
Lengo la Kwanza kabisa la AU lilikuwa kupambana na ukoloni ... Morocco ni wakoloni, so...
 
morocco wanasema ni wazungu na siyo waafrika, pia ni wamejazana sana huku ulaya, kumbuka kutoka morocco kuja ulaya ni km 14 tu za ndani ya maji
 
Mi ilikuwa inanishangaza pia.ukikata bimya safari kutoka nchi za ulaya,bima.ya.morocco na tunisia zipo kama una safiri kwenye bara la ulaya.lakini misri bima ya safari iko kwenye upande wa africa.
 
morocco wanasema ni wazungu na siyo waafrika, pia ni wamejazana sana huku ulaya, kumbuka kutoka morocco kuja ulaya ni km 14 tu za ndani ya maji
Mh! Wamoroko kujiita wazungu , ndo mara ya kwanza kusikia hii !
 
morocco wanasema ni wazungu na siyo waafrika, pia ni wamejazana sana huku ulaya, kumbuka kutoka morocco kuja ulaya ni km 14 tu za ndani ya maji

They feel superior because of their color. It is sad and shame
 
kwani kuna faida gani kuwa member wa AU.....sikuona faida ya OAU na sasa sioni faida ya AU.

kwangu AU ni klabu ya wakubwa kukutana kunywa chai, kahawa, kupiga soga na kubadilishana uzoefu wa namna ya kufanya ili waendelee kutawala aidha ikiwa ni kwa mabavu au demokrasia feki ya kuiba kura na kuua wapinzani wao.
 
Back
Top Bottom