Mambo ambayo upeo wako, Kenya bent, hauwezi kung'amua, tuambie inakuaje all internet accounts, ig, YouTube, Twitter, Facebook etc, Tz iko na idadi kubwa ya individuals, like followers, viewers, kuwashinda, afu Mnasema mko na users wengi kuliko Tz.
Yani mnapima kwa metrics gani kupigana na iyo