Why Do You Cheat?

unadhani watafanya nini?
wameshika kwenye makali

So sad
Nishaandaa speech ya kuwaambia tu kwamba watumishi wenu ni mizigo viti na nafasi walizokalia haziwafai. Kobe hata siku moja hawezi akapnda juu ya mti na ukimkuta juu ya mti kabebwa.
 
Nishaandaa speech ya kuwaambia tu kwamba watumishi wenu ni mizigo viti na nafasi walizokalia haziwafai. Kobe hata siku moja hawezi akapnda juu ya mti na ukimkuta juu ya mti kabebwa.
Umejipanga je lakini?
 
Alafu huwa wanaifuatilia hii I'd yangu na hili ndio jina officially, elewa kwamba Watumishi w umma wengi ni mizigo na nafasi walizo nazo sio halal.
Kwanini unaniambia haya mimi?
 
Kwanini unaniambia haya mimi?
Kuna uzi uliuanzisha ukawa unazungumzia mambo ya demokrasia na vitu kama hivyo. Nadhani imekuja kuingiliana na hapa baada ya kukwambia

Huu mtandao unahusishwa kama source / devices za ugaidi na ndio maana nikakwambia watumishi wetu wa umma ni mizigo.

Ninayeongoza kuwa laani ni Mimi hapa na nilishaandaa speech itakuwa published kufikisha ujumbe wenye kusaidia kufanyike namna katika utumishi wa umma
 
Kuna uzi uliuanzisha ukawa unazungumzia mambo ya demokrasia na vitu kama hivyo. Nadhani imekuja kuingiliana na hapa baada ya kukwambia
Ahaa niliona pia comment yako
Huu mtandao unahusishwa kama source / devices za ugaidi
Sina uhakika hapa
na ndio maana nikakwambia watumishi wetu wa umma ni mizigo.
So sad
Ninayeongoza kuwa laani ni Mimi hapa na nilishaandaa speech itakuwa published kufikisha ujumbe wenye kusaidia kufanyike namna katika utumishi wa umma
Sawa fanya hivyo
Usikose ku ni tag kijana mdogo
 
Sina hizo mambo Ukhty ,kusema nitapiga mnada 😅😅😅 na ndio maana hata access ya kupata mawasiliano naiomba hadharani
Sawa mawasiliano utapata shekh kua mtulivu🤣🤣
Ila tu utoe sababu kwanini upewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…