ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 15,252
- 35,513
Shenziiiii zakoKuna wimbo wa Mr Blue sijui kama sikosei
Unaitwa Pesa.
Umewahi kuusikia
Nimekoma.Shenziiiii zako
Unataka kusema je hebu sema simwambie mtu π€ͺ
Wewe nakugawa mazima na sitaki nirudishiwe π π π πNimekoma.
Wacha nitoke zangu nikajipumzishe mahali na π·π·π π π maana tangu Jana nilikuwa na kazi nzito π
π₯π₯π₯π₯π₯ nimeelewa darling mambo ya dollars πNatoka huku nikiwa nasikiliza huu wimbo hadi Moshi Pazuri.
[Hook]
Tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Ah! tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
Aah tunatumia pesa pesa pesa
Tulitafuta pesa pesa pesa
Tukazipata pesa!
Eeh (letβs go!) tumekuja kutesa, kuimba na kucheza.
πππ
Leo nimevaa hiyo tyt na T-shirt nyeupe njoo utanikuta.Wewe nakugawa mazima na sitaki nirudishiwe π π π π
π₯π₯π₯π₯π₯ nimeelewa darling mambo ya dollars π
ππ Ukaenda kutonesha kidonda.Wife alivyojifungua kwa C-section kile kipindi anasubiri jeraha lipone, niliwahi kutafuta huduma baada ya kuzidiwa na ashiki, hakika baadae nilijutia ku mcheat na nikajiapiza sitarudia tena
Dear daughter punguza masimangoMambo ya Malovee π
Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating
Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali
Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
π Basi anajikuta amecheat
Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhiπ
Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience
Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra
Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje
Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu
Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?
Nini kilikufanya uka-cheat?
Unajutia?
Umeacha au bado unaendelea?
Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?
-Au hujawahi kabisa?
Friday night π€
ShesRise_1 βοΈ
Nilishakwambia nipo kwa chalamilaπLeo nimevaa hiyo tyt na T-shirt nyeupe njoo utanikuta.
Nimekuja kushushia machungu π
Huko kwa kina sijui Mwandambo π π π π .Nilishakwambia nipo kwa chalamilaπ
Machungu hayo veep jishikilie tafadhari π
Dah aisee pole sanaWife alivyojifungua kwa C-section kile kipindi anasubiri jeraha lipone, niliwahi kutafuta huduma baada ya kuzidiwa na ashiki, hakika baadae nilijutia ku mcheat na nikajiapiza sitarudia tena
Jamani D masimango gani tenaDear daughter punguza masimango
Bahati nzuri hakugundua ilibariki siri yanguππ Ukaenda kutonesha kidonda.
Hapana sijarudia tenaDah aisee pole sana
So kweli hukurudia tena mpka leo
Mwandambo hua anakuja kuosha macho kwao ni huko mbeyaπ πHuko kwa kina sijui Mwandambo π π π π .
Mji wenu una heka heka π π π π ππ
MashaAllah π€Hapana sijarudia tena