Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 6,921
- 12,882
Why do you admire someone?(Kwa nini unavutiwa na mtu?)
Hapa kuna machache:
1. Akili
Huwa inafurahisha kuwa karibu na watu wanaojua mambo kunizidi - ni nafasi ya Mimi kujifunza Vitu kutoka Kwao.
2. Ucheshi
Huwa na vutiwa na watu wacheshi. Kuna watu wengi wana ucheshi mzuri, lakini watu wengine hawana ucheshi, na hiyo unifanya kua ni ngumu kuwa nao karibu.
3. Matumaini
Ni vizuri kuwa karibu na watu wanao kufariji na kukutia moyo kua wewe ni m bora na ambao wana ni zungumzia Kwa mazuri yangu.
Why do you admire someone / Kwa nini unavutiwa na mtu?
Please share your experiences.
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ