eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!
Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???
Hahahaha soda ya kopo huijui Masaki?
Ni ile ambayo inawekwa kwenye kopo na sio kwenye chupa ni special kama take away. Hata radha yake tofauti na ya chupa. Hata bei nazo zinatofautiana.
First lady umezidi na makala zako za kucopy and paste. Ni ndefu mno mama!
soma kama silabasi za secondary skuli...😉
Sasa inapoimbwa kwenye wimbo wa taarabu huwa ni fumbo ana wana maana hiyo hiyo uliyoainisha hapo juu? 🙂
hahahaha, ngoja aje FL1 labda ndo atamwelewesha vizuri B!
Haya ni majibu ya kihedi mistresi.................mweeeeeeee imbombo ngafu na iliposoma kama silabasi za secondary skuli...😉
hahaaaa bestlady wangu diku hizi majibu yako ni mkato duh!!!
eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!
Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???
...dah!long time ile mbaya,lol!🙂heeheheheh si unajua bestlady jana nilikuwa black angalau leo niko white kidogo same as u eeeh?ila vidole vinagoma kutype
ama baada ya salaam mi mzima hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
hehehe!dude bana...!paja la thamaki ndo likoje?..Walai waninitia tamaa....wataka paja weye la samaki?
Haya ni majibu ya kihedi mistresi.................mweeeeeeee imbombo ngafu na ilipo
hehehe!dude bana...!paja la thamaki ndo likoje?..
hehehe!shemeji yangu huyo namuogopa kwa kweliOngea na bht anajua hata migongo ya samaki!
Walai waninitia tamaa....wataka paja weye la samaki?
ujue miye huwa nacheza tu milindimo ya pwani kumbe ina ujumbe mzito ndani yake.haya jamani tupeni ufafanuzikwaresma hii ujue!!!
nilikuwa nakusubiri utoe ufafanuzi wa hayo masoda ya kopo (jana uluniambia nisichanganye na kisamvu cha kopo) na hili la paja na kipapatio
Ongea na bht anajua hata migongo ya samaki!
Ongea na bht anajua hata migongo ya samaki!
mwambie huyo hajuihehehe!shemeji yangu huyo namuogopa kwa kweli
ujue miye huwa nacheza tu milindimo ya pwani kumbe ina ujumbe mzito ndani yake.haya jamani tupeni ufafanuzi
Mwambie huyo hajui