oooh sorry binamu yangu wa ukweli...kumbe na wewe kimekupata jamani? twin wako yuko wapi isije na yeye akawa amekwazika jamani....LOL😀
hana lolote wako wanakimbiza kukuwa kienyeji na Mzee Mwanakijiji kule!!!
hahaaa masaidie Masaki kinda umempoteza!!!
aramba aramba..............dah wa ukweli bana!!!!!!!!
it looks like wanapenda sana waume za watu,au?....😀
Geof kaa tayari! Shauri yako....! Angalau umeshajua yakitokea unamwambia "si mimi!...si unaona kabla hatujaoana haikuwa hivi. Ni wao tu wanapenda waume za watu" LOL!
hahahaha, ngoja aje FL1 labda ndo atamwelewesha vizuri B!
Women by nature ni wavumilivu lkn wakifikia point ya kucheat kwenye relationship au marriage tunasema - when a woman is fed up! Men may cheat for the thrill or chase, lkn ni tofauti kabisa na mwanamke. Lakini pia kuna wanawake ambao ni tabia tu...wasipofanya hivyo hawana raha au kukamilika,
Kuna mdada in 1 year (na alikuwa na BF), alikuwa na statistic ya karibu wanaume 6, na sideline BF anamsubiri.....sorry and she had a hubby as well who decided to save his soul, he walked out.
Na ukweli ni kwamba most of such women are the ones men run after (20th Century fool...)
hahahaha, ngoja aje FL1 labda ndo atamwelewesha vizuri B!
sooooooo very true!!! (in most cases)
Masanilo pia anaweza kumdadavulia vilivyo......
@Masaki vuta subira kidogo
I am waiting, hata lunch leo siendi mpaka nipate jibu! You may call it hunger striker if you like....and I hope it is not illegal! 🙂
bht hajambo shemeji?
kwenye red nta-waive
dah sasa hii ndo kiu ya jibu au??? ngoja nitafute alternative kabla mtu hajafa njaa hapa!!
hhaaaaa mweeeh!! hajambo bana ndaga sana kumuulizia kumbe huna wivu siku hivi eeeh!!!
ndo ukaenda moja kwa moja na bwana harusi akarudi we bado kule...
Yeah! Nataka jibu. Na kama maana yake ni mbaya basi namwandikia Capt Mkuchika sasa hivi ili wimbo huo upigwe marufuku kama zile za ''Pole Samaki'' na ''Nyama ya Bata ni tamu''
The level of moral decay in our society is now at an alarming rate....Leo nimeamka kinoko noko tu! 🙂
kumbe ndo nia yako eeeeeeh!!!
kwaresma hii au sio.........
subiri Fide akuambie mi nafumba macho kabisaaaaaaa sitasoma
Hawakukuambia wapwa kuwa nimenogewa sehemu moja Cape town nilikuwa nakula macho ya samaki.
Masaki unataka majibu ya maneno yapi pole samaki? au nyama ya bata ni tamu?
eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!
Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???
Hasa hasa maana ya soda ya kopo!