Why do we repeat generational cycles, from time to time!

Chukulia mfano wa Christian Ronaldo , baba yake Ali athirika na pombe , Christian akajiwekea hato gusa pombe wala kufuga ndevu ili akate kabisa ile mifumo ya maisha ya baba yake aliyojiwekea na sasa ni kati ya binadamu mwenye mafanikio makubwa duniani ๐Ÿค”


Hayo mambo ni juhudi na kujijengea mikakati na nidhamu binafsi tu
 
Kwkaweli hiki ni tatizo kabisaa, tumsaidie mwenzetu huenda akaweza kuondoa hiki kitu kwenye maisha yake!
-Nmesoma kundalin nimeokota kidogo๐Ÿฅน
MKuu unajua nini,watu huleta confusion..kwenye kuvunja Generational Curses,huamini akiombewa na mchungaji ama akikesha kuomba atavunja..kwanza inabidi watu wafahamu laana ni imprints zipo kwenye DNA,na tukumbuke DNA ndizo hushawishi outcome iwe ya aina gani...

Hivyo kama umebeba zile chembe chembe kwenye DNA,tunategemea ufanye juhudi fulani(Yoga&Meditation)..hyo pekee ndo njia ya kubadilisha zile DNA..hyo imekuwa proved hata kisayansi..huwezi kubadilisha kwa kuomba ama kuombewa. Hyo pain ya ku release hizo dark energy lazima uzifeel.
 
Duhh itabidi tuongee vizuri mkuu! Mambo ya kujifunza ni mengi sana๐Ÿค”
 
Yeah meditation inabadilisha mtazamo wa mtu katika kufanya maamuzi
 
Mkuu,kuna tofaut ya maamuzi ambayo hutokana na consious ya mwanadamu,hayo yapo kwenye control yako..kuna yale ya subconcious mind hayo hayapo kwenye control yako hapo ni kwenye DNA comand...hapo ndo kuna imprints za tabia nyingi aidha hasi ama chanya..unaweza kujicontrol wewe,lakini kizazi chako cha tatu kikaja kukutana na zile tabia kwa zababu umezisambaza kwa njia ya DNA,,

Yoga na meditation ndizo huweza kuvunja hayo,kwa kuchange kabisa DNA..
 
"history repeats itself"
 
Duhh itabidi tuongee vizuri mkuu! Mambo ya kujifunza ni mengi sana๐Ÿค”
Nlikuambia mkuu ni mengi mnoo,na hizo laana zipo nyingi mnoo..ni vitu real siyo vya kufikirika..maana pain yake huwa Real pale hizo dark energy zinapo ondoka mwilini mwako..siyo ile ya kuanguka mashetani lakini ๐Ÿ˜€
 
Hii naikubali kwa 100% mwaka 2015 mpaka 20 nilifanya meditation kila siku nilikuwa wa tofauti sana kuna tabia zilipotea tu , zikajijenga tabia ambazo nilikua nina maamuzi nazo , ila nilivyoacha kwa mda mrefu niliona nimerudi kwenye tabia nisizoziweza kuzidhibiti kirahisi ๐Ÿค”
 
Sahihi mkuu,vip ni tabia nzuri lakini mkuu?
 
Yeah kumbe ile ID uliijua๐Ÿ˜… , ila sasa nipo kwenye mchakato kabambe wakujifanyia usafi mkuu , nitarudi tu๐Ÿ˜…
Naam mkuu,mwenyewe sikuwa natumia hii ID those days..ilipata hitilafu fulani..napambana ziunganishwe. Karibu mkuu tuendeleze mapambano ya kujitambua kwa njia ya meditation &Yoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ