Why do strokes often happen in bathroom?

hahaha[emoji23][emoji23] mkuu, hujawahi kusikia hizi stori ? utaskia “vyooni sio kuzuri kabisa, majini hupapenda sana huko” au “fulani kategewa kipande chooni” hua nacheka sana


Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo zipo sana na hata mimi nilikuwa nikiamini maana sikuwa najua mechanism yake..
 
Niseme ukweli tu,mimi napenda sana kuoga maji ya moto,mbali na kuchukia ule msisimko wa maji ya baridi pia huwa naamini sitakati maana jasho limeganda baada ya kupoa.

Hii ni kanuni simple ya kurudisha nuru ya ngozi yako,maana ngozi inatakata kabisa.

Nikioga maji ya baridi basi inabidi nianze kunawa miguu kwanza,kisha tumbo na kifua,baadae kichwa.na ukitaka kujua kichwa hakipatani na maji ya baridi,kutana na mvua ikugonge mwili mzima kama hamna tone lililogusa kichwa,utahisi hujalowa,wacha uguswe na matone kichwani,hapo ndio mwili unakubali na kuanza kuonyesha madhara ya kulowana.
 
here in Africa people believe it happens because the devils (majini) prefer to stay in toilets and some believe it to be the perfect spot to set spiritual attacks


Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka kwenye biashara wanaingiza upumbavu wa kichawi...
Duh kweli watu wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Asante, nimejifunza kitu hapa.... sema sio rahisi kukwepa kuanzia kichwani.
 
Loud and clear
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza tu hivi kule kwetu Ukerewe, Ukara, Majita, Bukima ambapo toka miaka za mababu zetu walioga ziwani. Tena alfajiri na mapema saa kumi na mbili hadi saa moja. Najioni saa kumi hadi kumi na mbili. Mie mwenyewe nimekulia huko. Tulikuwa tukiambiwa Ili usipate baridi mwilini unajirusha mwili mzima ndani ya maji ziwani. Na maji ya ziwa victoria ni baridi hasa. Lakini sikuwahi ona mtu kapata stroke au mie mwenyewe. Baba yangu anazeeka mpaka kafariki akiwa ana miaka mia na ushee anaoga kwa kuzama ziwani. na unapozama unaanzia kichwa-diving! Hii inakuwaje? Au mzungu akisha sema tunakubali kila kitu? Je atuwezi fanya nasi utafiti wetu kwa mazingira yetu? Najiuliza tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…