Na hilo ndilo neno la BwanaMwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Kuchepuka ni ushenzi na kutoridhika. Sio asili ya mwanaume. Wapo wanaume na wanawake waliomheshimu Mungu na hadi wanakufa, hawajakutana na mtu yeyote kimwili tofauti na wake au waume zao...
Acheni kushabikia ujinga. Uzinzi dhambi.

Hilo la kweli kabisa.If a man loves a woman's soul,he will end up loving one woman. But if he just loves a woman's body, all the women in the world won't satisfy him
Swali zuri akikujibu nambieAdamu alichepuka na nani?
Swali zuri akikujibu nambie
PoaUlistahili kupitia kwanza posts za mwanzo ili ujue kama jibu halikutolewa ama lilitolewa!