Why do men cheat?

Why do men cheat?

Mi nawashangaa hawa wanaume wa sasa,baadhi yao imekua fashion na wanaona fahari sana kujisifu kwa uchepukaji
Hahah tunaambiwa sasa hivi kuwa tunajifanya watakatifu. But truth be told, waache upuuzi wa kuona ni fahari na lazima kuchepuka. Consequences wanazijua vizuri tu ila kujiendekeza sasa
Inaonekana ni rahisi sana kunyoosha vidole kwa wanaume, ila ni ngumu sana kujinyooshea vidole. Poleni sana
 
Inaonekana ni rahisi sana kunyoosha vidole kwa wanaume, ila ni ngumu sana kujinyooshea vidole. Poleni sana
Tumeshapoa, pole na kwako pia. BTW thread imewaongelea wanaume, na always mnakuwa na justifications mia kidogo. Wanawake pia tunacheat, but sijawahi ona wanawake wakipewa excuse za kucheat as kwa wanaume ilivyo.
 
Men cheat just because they can. No more, No less.
 
Daaah nilitegemea huyo mtafiti aseme 99.9% of men who cheat do not deeply fear about God
 
Tumeshapoa, pole na kwako pia. BTW thread imewaongelea wanaume, na always mnakuwa na justifications mia kidogo. Wanawake pia tunacheat, but sijawahi ona wanawake wakipewa excuse za kucheat as kwa wanaume ilivyo.
Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
men have sex with bodies, unlike women with their hearts!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom