Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Dec 15, 2012 #21 Kila mtu anajifanya mwema pale anapohitaji kiyu, akishakipata ndo utaona true colour ya huyo mtu. We angalia unavyonyenyekea unapotaka kitu toka kwa mtu na baada ya kukipata.
Kila mtu anajifanya mwema pale anapohitaji kiyu, akishakipata ndo utaona true colour ya huyo mtu. We angalia unavyonyenyekea unapotaka kitu toka kwa mtu na baada ya kukipata.