Je ni ukweli usiopingika kwamba wengi wao maendeleo wanayoyaongelea ni yale ambayo wameyaona kwenye luninga tu? Kwenye vitabu na sinema et al.
Rev. Kishoka
Sifikirii kuna mtu anapuuza haya uliyosema bali wengi wanakariri tu kama kasuku na hawafahamu jinsi ya ku-manage time na kuwa reliable kwa yale wanayofanya, wachilia mbali quality na efficiency of that delivery licha ya kuchukua responsibility kwa yale wanayofanya. Mfano mzuri ni JK, Mkapa pamoja na Mwinyi madudu waliyofanya hawajachukua responsibility yoyote na wanaendelea kuchota pesa za walipa kodi. Hakuna adhabu yoyote ambayo wanapata kutokana na madudu waliyofanya. Kama wangekuwa makini wangetubu kwa uovu waliowafanyia walipa kodi na kuacha kuchota pesa za walipa kodi.
Tatizo sio kujifunza, tatizo ni kuishi kwa kubahatisha na kuogopa status quo. Ukiangalia wengi waliokwenda nje kwa kulipiwa na serikali hawajitumi kwa sababu wanafahamu kwamba wamesoma lakini wakirudi nyumbani watapata vyeo hata kama wamefeli. Culture ya kubebana. Angalia Sumaye alikwenda kusoma Havard ili aje apate cheo tena na kuwakamua zaidi walipa kodi wakati alikuwa failure mkubwa.
Wapo Watanzania ambao walikwenda nje na kujiendeleza wao wenyewe sio kutegemea serikali kimaisha wapo mbali sana. Hiyo figure ya 15000 naona ndogo sana, kuna Watanzania wengi sana nje.
Swala la msingi sifikirii kama Kenyans au Burundians ni mfano kwa sababu wengi wao nawafahamu ni wabinafsi sana na wana chuki kubwa sana kwa Watanzania. Kuna nchi ambazo tunaweza kujifunza kwa mfano UK, Canada, Singapore etc. Nitakupa mfano hivi leo kama ningekuwa na uwezo ningewasomesha Watanzania kwenye nchi zilizoendelea kila mwaka wanafunzi 1000 tu (a year) kwa kuwapeleka Vyuo vikuu mahiri UK, USA, Sweden, Japan na Ujerumani pamoja na Urusi. Kila nchi wanafunzi 200 kwa mwaka kwa muda wa miaka 20. Nafahamu wapo ambao hawatarudi lakini wengi watarudi. Baada ya hapo ungeona mambo yanabadilika.
Tumekaa kuwategemea wale wanaofanya kwenye balozi zetu nje ati ndio wawe viongozi wetu mfano Mkapa. Alichofanya ni kuuza mashirika ya uma bila kufanya tathmini yoyote. Hasara yake hailipiki. Mabalozi wetu wengi hawafahamu kwa nini wamechaguliwa kwenda huko waliko. Hawafahamu nini wanatakiwa kufanya ni kubebana tu kwa kwenda mbele ni aibu.
Mkuu Kishoka mtoto umleavyo ndivyo anavyokua, tumekuwa washabiki zaidi wa kupeleka watoto kwenda kusoma Kenya ati kwa sababu watoto watazungumza kimombo, mbona Kenya kwenyewe sio wazungumzaji wa kimombo kizuri? Kama ni hivyo si basi tungewapeleka kusoma Zimbabwe wanaongea kiingereza kizuri kuliko Kenyans na kama kimombo ndio issue kwa nini basi tusifanye mpango kabambe wa kuwapata walimu wa kimombo kutoka Wingereza? Tusitake maendeleo kwa njia ya mkato hayatatokea. Swala ni mipango na hilo JPM kaanza na kubomoabomoa watu wanataharuki. Tuangalie nchi zilizoendelea walifanyaje kufika huko waliko? Tujifunze kutoka kwa magwiji sio walalahoi kutuzidi sisi. Hatuwezi kuendelea kamwe kama tutaendelea kuangalia pua zetu yaani Kenya, Rwanda, Burundi, Rwanda na Uganda. Tutaendelea kwa kuangalia UK, USA, Singapore, Sweden, Japan etc. How did they do it? Je, UK wamebadilishaje utaratibu wao wa kufanya kazi kuanzia serikali kuu hadi serikali za mitaa, wilaya etc.
Swala jingine ni jinsi viongozi wetu wanavyochujwa, tunatumia misingi gani? Je, wanafuata principals za Project Management? Leadershpi qualities? Au ndio basi ule msemo wa kuongoza kutokana na jinsi unavyofikiri. Je, wanayoyafanya ni value for money? Au ndio basi ni kutumia pesa za walipa kodi kama wanavyotaka kwa sababu kuna kisima cha kukusanya.
BTW sikugusia swala la nyumba etc kwa sababu nafahamu tukiweza kwenye issues nilizododosa huko mambo yatanyooka tu. Pamoja na miundo mbinu etc. Nitafarijika tukiweka fast trains kuunganisha miji yetu yaani naondoka na treni Mwanza saa mbili asubuhi saa tano asubuhi niko Dar Es Salaam. Yes I said that can be done.
Deni la Taifa lipo katika hali gani?JPM kwa mara nyingine tena anaweka rekodi mpya Tanzania kwa kuweza kutumia pesa za ndani kufanya uchaguzi wa mwaka huu. Nchi za magharibi ambazo walifikiri atakwenda kukinga bakuli hawaamini wamebaki kushangaa. Bado siku watakapokuja kutembea kama wakipenda watashangaa wenyewe.
Thank you very much rais wetu JPM, hapa ni kazi tu.
Sina figures right now lakini mara ya mwisho nilipoangalia ukuaji wake umeendelea kuwa constant kwa miaka kadhaa. Miradi mingi ya kimkakati ndio itawezesha Tanzania ijiimarishe financially. Unless kama unasoma habari za udaku ie fake news kwamba uchumi wetu ni mbaya sana.Deni la Taifa lipo katika hali gani?
Kwahiyo kama huna figure ujnapata wapi ujasiri wa kusema '' kaweka rekodi ya kutumia pesa za ndani''Sina figures right now lakini mara ya mwisho nilipoangalia ukuaji wake umeendelea kuwa constant kwa miaka kadhaa. Miradi mingi ya kimkakati ndio itawezesha Tanzania ijiimarishe financially. Unless kama unasoma habari za udaku ie fake news kwamba uchumi wetu ni mbaya sana.
JPM ni mtetea wa maslahi ya nchi yetu, madini sasa yanafaidisha Tanzania; Reli ndio itakuwa Mwarobaini wachilia mbali Umeme wa Bwawa la Mlm Nyerere Bomba la mafuta ni icing the cake. Tuombe uzima tu!
Media reports Tanzania’s economy is awful: Is this gospel truth,
Huo ujasiri naupata kutoka vyanzo vya habari za kuaminika, mwezi uliopita BOT walitoa figures hizo nilizisoma ndio base yangu vile vile JPM mara kadhaa kwenye mikutano yake amesema hivyo. Mimi namwamini kwa sababu yeye ndio Rais na kuwa rais kuna jukumu la responsibility. Wewe Nguruvi3 hata unapoongopa hapa huna responsibility yoyote, ni hoe hae tu na hata unavyodanganya hivi hakuna pimbi yoyote anayekusikiliza.Kwahiyo kama huna figure ujnapata wapi ujasiri wa kusema '' kaweka rekodi ya kutumia pesa za ndani''
Kwa taarifa tu wakati unatafuta data ni kwamba, deni la Taifa limeongeza kiasi kwamba kuna shaka ya kukopesheka.
Pili, madini yameiinufaishaje Tanzania? tofauti na siku za nyuma.
Tatu, reli itakuwa mwarobaini kwa kwa kupanua wigo gani wa uchumi?
OK, no problem Sir. Tulitaka kujua vyanzo vyako na muhimu zaidi takwimu."Wacha1, post: 36707451, member: 20496"]
Huo ujasiri naupata kutoka vyanzo vya habari za kuaminika, mwezi uliopita BOT walitoa figures hizo nilizisoma ndio base yangu vile vile JPM mara kadhaa kwenye mikutano yake amesema hivyo.
Haa! mbona unajishuku! nani kaukuuliza haya yote.Mimi namwamini kwa sababu yeye ndio Rais na kuwa rais kuna jukumu la responsibility. Wewe Nguruvi3 hata unapoongopa hapa huna responsibility yoyote, ni hoe hae tu na hata unavyodanganya hivi hakuna pimbi yoyote anayekusikiliza.
Alaa! sikujua bwana. Kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na akina nani?Swala la madini hakuna mtu yoyote ulimwenguni anayefuatilia maswala ya madini kwenye stock exchanges nk hafahamu kwamba Tanzania ya sasa sio ile ya zamani.
Wewe unafahamu, sisi tusiofahamu hatufahamu kwasababu wewe umesema tu unafahamu.Tunafahamu Serikali imepata pesa kiasi gani kwenye Tanzanite, gold etc. kama hilo hulifahamu pole sana.
Lini wachimbaji walikuwa na huzuni? Iliyokuwa na huzuni ni serikali. Madini yanachimbwa Mererani , muuzaji mkubwa ni Kenya, msafishaji ni India. Guess what, walikuwepo, waliona uozo huo hawakusema.Kama upo Tanzania tembelea Merelani pamoja na masoko ya madini uone jinsi Watanzania wachimba madini wazawa walivyo na nyuso za furaha.
Wakati Wahindi wanang'oa mataruma, hawa hawa walikuwepo. Walikaa kimya!Reli ni kufanya usafiri wa haraka popote Tanzania na kupunguza mrundikano/msongamano wa malori barabarani na kuharibu njia zetu. Kama hulifahamu hilo sifahamu unahitaji msaada gani.
Tafiti hizo umeziona leo. Sisi tulizungumzia hili hapa Jamii forum miongo mingi tu.Mfano tafiti zilizofanywa pale Ubungo wananchi kuchelewa kulikuwa kunaondoa muda mwingi wa Watanzania kufanya shughuli nyingine muhimu pamoja na kupunguza ajali nk kama hilo hulifahamu unahitaji msaada gani?
Serikali iliwahi kemea uagizaji wa mitumba, sijui kama katazo lipo au la!MATAGA tafsiri yake as far as I know ni ''Make Tanzania Great Again'' pengine wewe una tafsiri ingine, au la pengine unaweza share na members.
Sidhani kama ni swala la kuteleza au hofu, nionavyo mimi wengi wanajadili kwa kuvutia kamba kwenye manufaa yao na sio manufaa mapana ya nchi. Wengi wanaweka ushabiki wa maslahi yao kwanza kabla ya utaifa. Ni aibu kwa sababu Watanzania tuna uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo makubwa. Lets not lose hope and try to convince others that it can be done.Hofu, hofu, hofu.
Tangu 2016 wachangiaji wengi au waandishi wa makala kwenye magazeti au kwenye tv waliacha kufanya hivyo.
Kwa mfano hapa jamii forum, utakumbuka uchaguzi wa 2015 kulikuwa na mijadala mirefu moja uliongozwa na Nguruvi, lakini hii 2020 hakuna tena mijadala kama ile. Kwa sasa ni rahisi sana kujadili uchumi au siasa au jamii ya nje kuliko hapa Tz. Kujadili ya hapa unaweza teleza