why did i merried..........

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
siku hii sitaisahau alinikubalia mwenyewe... gafla ikawa halii hii
 
Jamani tuandikage tu kibantu chetu make hizi lugha mhh! '..why did i married?' ama ndo zile za mwezi mmoja kuongea na kuandika,labda!
 
mkuu wewe kabila gan niwaulize wa kwenu maana ya "mkumbeke gafla??!!"
 
jamani tuandikage tu kibantu chetu make hizi lugha mhh! '..why did i married?' ama ndo zile za mwezi mmoja kuongea na kuandika,labda!
aaah labda mwezangu umekulia uzunguni....nirekebishe
 
Jamani tuandikage tu kibantu chetu make hizi lugha mhh! '..why did i married?' ama ndo zile za mwezi mmoja kuongea na kuandika,labda!

Chezea kikristo wewe?? Kwanza kinaleta njaa na kumaliza charge kwenye simu.
 
Jamani tuandikage tu kibantu chetu make hizi lugha mhh! '..why did i married?' ama ndo zile za mwezi mmoja kuongea na kuandika,labda!

Hata hapo umemsaidia sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mimi nimefurahia hiyo lugha "why did i married..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…