MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
- Thread starter
-
- #21
Kayanda umenena vema haswaaa mtu wa kushare naye mazuri na mabaya.Hujaoa hujakamilika. Mbali na hayo maraha yote ya kitandani, uelewano, kuwa na mtu wa kushea mazuri na mabaya, na on top kujenga family yaani watoto.
Thanks.But If you will not mind,are you HE or SHE.Kwa kweli ilikua inakimbia kinoma......wakati huo ilikua kwenye 32!!
hahahaha binamu umenichekesha kumbe ulikuwa huna tu jinsi lakini ingekuwa amri ungeendelea kuwa bachela mzoefu
Ulinikatadha nisiongee mambo ya ndani!.Leo nataka kujifunza mchumba,si unajua ndoa yetu inakaribia? au hutaki nijue ukweli wa ndoa? unaogopa kibuti?
MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi
kumbe nilitest tundi before marriage
carmel kuna aloiba password yako?!! HayaAi wewe! kumbe ulitest eeh, lakini muhimu bwana kutest unaweza kukuta kibamia ndoa ikwa ndoano.
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?Kayanda umenena vema haswaaa mtu wa kushare naye mazuri na mabaya.
kusema kweli kwa wakati huu hii red ndo inachangia sana!! maana ankumbuka chuo asilimia kubwa walioana kwa sababu ya hiyo nyekundu hapo!MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi
kumbe nilitest tundi before marriage
Ai wewe! kumbe ulitest eeh, lakini muhimu bwana kutest unaweza kukuta kibamia ndoa ikwa ndoano.
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?
Xpini atanisaidia kujibu hili!!Thanks.But If you will not mind,are you HE or SHE.
ZD we umekubali kuwa kakibanda weweeeee!!! endeleeni mi nasoma posts tu!!!
Ha wewe, hupitwi binamu?Sikujua binamu unapenda visiki vya mpingo! Hahaha! GOT YA!
ZD we umekubali kuwa kakibanda weweeeee!!! endeleeni mi nasoma posts tu!!!
Xpini atanisaidia kujibu hili!!
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?
usimuogope Xpin,Hata hivo mie ni mcha Mungu.Mie nataka kujua tu kwa nini umri ukufanye ukimbilie ndoa.Nishasikia kuwa mwanaume hata akifika miaka 40 hajaoa hana shida,ila tatizo mwanamke.akifika 30 hakieleweki ataweza kuolewa na yeyote yule ataejitokeza mradi apate ndoa.Unaelimisha wengi usiogope.Xpini atanisaidia kujibu hili!!
Watu fitna utawajua tu ZD wangu. Hahaha! LOL mtoto hapitiwi huyu. Ngoja nimwambie nguli.
umwambie nini!!! kama kawaida nakaba mpaka penalty, that is me Iribini haaaaa