Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

nakubaliana na wewe lakini wakati mwingine unaweza choka kufanya hayo maombi , mana unaona limtu kama linafanya makusudi vile, mie nilichokaga kumuombea nikawa najiombea mwenyewe tu lakini baada ya muda likabadilika, sasa cjui yale maombi ndio yalifanya kazi baada mie kujichokea.

..........Mwe!

Umenisababishia machozi kwa kucheka!
 
Teh teh teh mkuu hii mbona inaongelewa sana kwenye media lakini nashangaa watu hapa hawajaitundika jina bado watu tumelikalia.

DUH, HII KALI, sipati picha **** moja kubwa kwenye kiti cha mbao atakaaje!!
hahaaa tehteheee
 
DUH, HII KALI, sipati picha **** moja kubwa kwenye kiti cha mbao atakaaje!!
hahaaa tehteheee

Hahahaha huyo ndo mke wa waziri katika serikali ya awamu ya 4 hehehe alitumia dawa za Kichina kwa hiyo kalio mmoja limeumuka jingine au la upande mwingine lipo kawaida kwa hiyo anakaa kama amekata spring.
icon10.gif
 
Hahahaha Nyamayao umesikia mke wa waziri kaongeza makalio si likaongezeka moja jingine likawa vile vile alifanya hivyo baada ya kuona Mr. wake kila kimada anacho tembea nacho kimefunga mfadhaiko nyuma aka wowowo na yeye akaongeza sasa serikali ina mpango kumsafilisha kwenda kumtibia. Ndo hivyo nyumbani mtu huwezi pata vyote.

Fidel binadamu haridhiki, huwezi sema unamridhisha atakavyo yeye, kisa nipatwe na shida zote hizo ni nini wakati akishatumia ataenda tu nje kutafuta ambazo ni virgin(kama zipo ya huko)...mie cwezi ajiendee tu huko huko nje.
 
Hahahaha huyo ndo mke wa waziri katika serikali ya awamu ya 4 hehehe alitumia dawa za Kichina kwa hiyo kalio mmoja limeumuka jingine au la upande mwingine lipo kawaida kwa hiyo anakaa kama amekata spring.
icon10.gif

hiyo kali.... sasa shida zote hizo za nini?
 
asee mkuu hebu ni-PM bana nimjue huyo bibie!.
 
[/COLOR]

hiyo kali.... sasa shida zote hizo za nini?

Kwani hujui mke wa waziri alitaka kuwa na wowowo tukunyema dah ndo hivyo dawa za kichina zikamuumbua limeongezeka moja jingine lipo vile vile hebu niambie akikaa inakuwaje?
 
Kwani hujui mke wa waziri alitaka kuwa na wowowo tukunyema dah ndo hivyo dawa za kichina zikamuumbua limeongezeka moja jingine lipo vile vile hebu niambie akikaa inakuwaje?

ndio hapo na mie cpati picha........
 
teh teh teh mpwa hili jina la waziri sitoi mpaka mnitafutie demu.

mkuu to specification za huyo demu tumsake fasta:
-mwembamba
-mnene kiasi
-mweusi
-mweupe
-mfupi
-mrefu
-makalio makubwa
-english figa
-jimama
-bibi kizee
 
haihitaji maneno miiingi;

Married But Unsatisfied...

wanawake kwawanaume wa kileo hatujali social stigma iendayo na kuvunja viapo vya ndoa. Yaliyoonekana aibu katoka jamii miaka hiyo sasa yamegeuzwa 'sifa' za kujivunia!

Jambo la kujiuliza kwanini wanandoa wengi miaka hii hawana furaha/ridhiko na ndoa zao?

Nini kinachangia? matamanio ya wanandoa yanazidiwa na matarajio?

Kabla ya kuwalaumu 'Serengeti Boyz na nyumba ndogo', Waliofungana pingu za maisha lazima waubebe msalaba huu na kusulubiwa kwanza.

Mbu hili swali ni swali muhimu sana na nina uhakika tukilipatia ufumbuzi basi haya ya nyumba ndogo na pengine hata ukimwi vitakuwa ni historia. Hivi ni kwa nini maana badala ya watu kuhangaika kuzilinda ndoa zao kwa kuwa waaminifu ndio kwaanza mtu anaunja uaminifu tena anajustify kabisa!

Zamani ilikuwa ni dhambi, mwiko na aibu kubwa ukijulikana unatembea na mume wa mtu lakini leo hii ndo kama hivi mtu anadiriki kabisa kuanika hadharani kuwa nanafurahia kitendo hicho na anakiri kuwa hataacha!!

Kuna rafiki yangu yeye alibahatika vibaya kuanza mapenzi na mume wa mtu, sasa ni kama gundu kila anayemtongoza ni mume wa mtu yaani hajawahikuwa/fuatwa na bachelor hata mara moja ....... tangu 1998 hadi sasa 2009 ameshakuwa na boyfriends zaidi ya wanne- wote waume za watu.
 
Back
Top Bottom