Huyu jamaa kwa kweli yuko kikazi zaidi, sio wana mziki wetu wengine ni watu wa kujifurahisha na kufanya ubishoo kwenye mziki. Ndio maana hawadumu.
Nani kama mama huwa inawatia wengi majonzi jamani. Jamaa anabonge la kipaji, kama hajapata uraia Wa hapa tzania, nawaomba uhamiaji mpatieni uraia.