Kufeli darasa la saba hakumaanishi mtu si mzuri katika masomo. Kuna factors nyingi zinazochangia mtu kufeli au kufaulu baadhi zikiwa juhudi za kujisomea na kujifunza, uzembe, walimu wabaya, uwezo wa kifedha n.k.
Sio seminary zote zina pre-form one. Kwa experience yangu na uelewa wangu kuna seminary zifuatazo ambazo hazina pre-seminary,mfano maua seminary,uru seminary,st.james, na zinginezo ila zinafanya vizuri sana. Mdogo wangu alifaulu darasa la saba na akachaguliwa kwenda kwenye secondary ya kawaida,day school,akapiga chini tukampeleka semenary akawa kwenye first five kila term na results zake za form four na six zilikua safi sana.
Nakubaliana na wanaosema kwamba kufeli darasa la saba sio kigezo cha ukipanga/ukilaza wa mtu.
3)Kama mnasema kufaulu darasa la saba si kigezo cha akili ya mwanafunzi(partly nakubaliana nanyi),sasa si mseme tu kufaulu katika level yoyote ile ya shule siyo kigezo cha ukipanga,yaani iwe darasa la sana,olevel au high school au hata chuo kikuu.Kwanini darasa la saba tu?
Kama unaijua historia ya Colin Powell utajua kuwa hakuwa mwanafunzi mzuri darasani. Nadhani kwa kuangalia matokeo yake shuleni utakubali (hata yeye mwenyewe anakubali) alifeli. Na hapa nazungumzia college. Kwa mujibu wa Wikipedia, "He graduated with a Bachelor of Science degree in geology from the City College of New York in 1958, attaining a C average, according to his 2006 graduation address at Marymount University."Sasa baada ya Colin Powell kushika nyadhifa zote hizo ktk serikali ya Marekani bado utasema ni mtupu kwa vile hakupata A?
Tusisahau pia kuwa walimu wa shule hizi pia wanajituma sana. Wanajali muda wa kazi , wanajiandaa vizuri na kufundisha kwa moyo bila kubakiza material ya tuisheni. Hakuna uzembe katika ufundishaji katika shule hizi.
Hakuna kitu ni wanajituma kuiba mitihani sana
sio seminari tu kwa ujumla shule za kanisa hata zenye wanafuzi zaidi ya 100 wanaofanya mitihani zinaongoza..mfano shule ya st marian imeanzishwa na cardinal pengo mwenyewe ,maria goretti,st fransis...[mbeya-kila mwaka ina feuture top ten]...na hata watoto wanaoongoza wanatoka huko.....
mimi nimepita seminari kwa muda...Malezi na sala yamepewa kipaumbele...utaratibu ni huo kwa shule zote za kanisa hasa katoliki....pia hawafanyi elimu biashara...hawachukui wanafunzi wengi kupita uwezo ..mfano kama wamekubali ratio kwa darasa ni wanafunzi 30 ..basi hata uwape pesa hawatampokea mtoto...
mfano nidhamu ya muda ninayoikumbuka kwa kipindi nilichokaa seminari ni kama hii..
kuamka-saa 11 asuibuhi kila siku
11;30 Mazoezi binafsi[lazima]
12;00-30-KUSALI IBADA FUPI KANISANI[kingereza,kiswahili,kilatini]
12:30-kazi za mikono
7:00 kujiandaa
7:20 kifungua kinywa
8:00 -darasani
10:00 -chai na karanga[bites] au kavu
10:30-darasani
12:00 kusali
12:15-darasani
13;00-CHAKULA
14:00-KULALA
15:00-DARASANI
16:30-CHAI/BISKUTI au any bite au kavu.
16:45-kazi za mikono
17:20-michezo na mazoezi ya viungo
18:30-usafi binafsi
19:00 - chakula
19:40-ibada
20:20- kujisomea
22:30-KULALA [WOTE]
23;00-TAA ZOTE KUZIMWA
utagundua kuwa mtu yeyote aliyepita hizi shule anaishi kwa ratiba...kila kitu kinatengewa muda mdogo ili kila kitu kifanyike kwa makini.....hata kama ni wakati wa mitihani ratiba ni ileile...tabia ya kukesha kusoma kule hamna..they call that poor time management.....ule msemo wa wakati wa mtihani kuwa 'ngombe hanenepi siku ya shughuli ..umeanzia kwenye hizi shule"" wao wanahitaji masaa mawili tu ya maandalizi binafsi usiku.....kwani maandalizi ya mtihani wa form four wao huyafanya kwa miaka minne...hawahitaji kuhangaika siku ya mwisho.....au kidato cha sita wanapoingia tu wanajiandaa kwa mtihani wa mwisho!
hizi shule za kanisa zitaendelea kutesa ..kama tunapenda tunaweza kuiga ya macheche!
wewe nawe, sijui umetumwa! How can more than 10 schools kuweza kuiba mitihani na wanafunzi wake wote kuwa consistent kupasua pepa...
Pia kuna suala moja muhimu sana ambalo watu hawalizingatii ktk suala la elimu. Seminarini watoto wanakula misosi mizuri sana. Mdogo wangu ananieleza jinsi wanavyokula: maziwa,mayai,kitimoto(nyama),matunda etc ambavyo shule zetu za kawaida havipo hivyo. Mtoto hajala unamfundisha problems ktk linear programming ataelewa? Baada ya shule watoto ktk shule zetu za kawaida hawaeleweki wanafanya nini, ndipo wengine wanaenda kujihusisha na ulevi,uzururaji etc. Seminary mtoto anafuatiliwa hata wakati wa kulala wanahakikisha wote wamelala kwenye vitanda vyao. Nawapa big up RC kwa malezi bora ambayo matokeo yake wote twayaona.
Kufeli darasa la saba hakumaanishi mtu si mzuri katika masomo. Kuna factors nyingi zinazochangia mtu kufeli au kufaulu baadhi zikiwa juhudi za kujisomea na kujifunza, uzembe, walimu wabaya, uwezo wa kifedha n.k.
Pia ni kwakuwa wana MUNGU wa kweli..teh teh teh..natania tu jamani!
Wana excel kwasababu wanaiba mitihani ya Taifa
Wana collude na officials kwenye MOE ambao ni loyal kwa mapadre wao
Mitihani mingi ya Taifa inasahihishwa kweny kumbi za kanisa katoliki badala ya majengo ya serikali! wanainfluence the whole process
Hakuna cha ajabu kwenye hilo ni ufisadi kwa kwenda mbele..
Kwakuwa wizi wa mitihani ni uvunjaji wa sheria tunaomba evidence ama la uzipeleke kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake.Vinginevyo naweza kuhisi utakuwa ni wivu tu kwanini wale na sio mimi, kwanini dini ile na siyo dini yangu! Lengo hapa ni kujifunza. Kama kuna mazuri tunaweza kujifunza toka seminary ili na shule nyingine nazo zikafanya vizuri kuna matatizo gani?Wana excel kwasababu wanaiba mitihani ya Taifa
Wana collude na officials kwenye MOE ambao ni loyal kwa mapadre wao
Mitihani mingi ya Taifa inasahihishwa kweny kumbi za kanisa katoliki badala ya majengo ya serikali! wanainfluence the whole process
Hakuna cha ajabu kwenye hilo ni ufisadi kwa kwenda mbele..
Nadhani hapa cha muhimu ni kujifunza wakatoliki wamewezaje?
Personally, nimesomea shule ya misheni tena kijijini kabisa. So I have lived this experience. Ukweli ni kwamba shule za misheni hazichukua best achievers as people want us to believe.
Pia ni kwakuwa wana MUNGU wa kweli..teh teh teh..natania tu jamani!
Wana excel kwasababu wanaiba mitihani ya Taifa
Wana collude na officials kwenye MOE ambao ni loyal kwa mapadre wao
Mitihani mingi ya Taifa inasahihishwa kweny kumbi za kanisa katoliki badala ya majengo ya serikali! wanainfluence the whole process
Hakuna cha ajabu kwenye hilo ni ufisadi kwa kwenda mbele..