Naona uvivu kujibu post yako coz' uliyoandika yote ni irrelevant materials! Badala ya hoja yako kumwelekezea NasDaz naona unaanza personal attacks kwa kumuonesha NasDaz ndie Membe... !! Do you believe nina sababu ya kujibu post kama hii?Afadhali umekuja mwenyewe Membe aka NasDaz! Joka la Mdimu ameweza kuwafitinisha hadi wabunge wa Mtwara! Ilikuwaje Investment zake hazikuguswa wakati ule wa vurugu za wanamtwara? Ulimsikia Anna Abdallah alivyoweka bayana Fitna zako Membe? Abuazizi aliekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa mlikosana kwa sababu gani? Hivi fitna za Kiwanda ni Unafiq mwingine unaojaribu kuwapandikizia watanzania! Wote tunajua jinsi ambavyo Mudhihir alivyokuwa anapigania mkoa wa Lindi kiasi cha kutoa hata tafsi ya CCM kuhusiana na Lindi kuwa ni Tundu la Choo !!! Haukuishia hapo bali ulifanikiwa kumuandalia ajali iliyopelekea kukatwa mkono! R.I.P Salome Mbatia... Hakika Damu za Watanzania zitakurudi tu ... R.I.P Mvungi et al ... Jitihada zako za kuwania urais kwa kuwafitini wenzako haitafanikiwa! Ungekuwa smart ungeanza kwanza kupata uungwaji mkono kutoka kwa wanakusini wenzako badala ya kuwafitinisha... Kumbuka maneno ya Anna Abdallah kuwa 'Watanzania si wajinga eti katika kipindi kifupi Rais atoke kanda moja" ... Fedha za Ghadafi zitaisha, Fitna zako ziko hadharani sasa, JK amekushtukia, soon familia yake nayo itakutosa tu... Kwenye medani za kimataifa umeshindwa kabisa ku-deliver!! Tunapigwa mkwara kila upande wa nchi! Wakenya sasa wanalazimisha kufanya utalii Serengeti bila tozo, tulipowakatalia wamekuja na mbinu nyingine ya kuua Precision Air na sasa wanatoza nauli kubwa Dar - Nairobi. PK ana nguruma ....
Mi ni mtetezi wa wasema kweli na ukweli hupimwa kwa aina ya vyanzo vya habari na viambatanishi vya kuelezea ukweli wenyewe. Kwa mfano unatupatia taarifa zake za Nampa na Itaga na hakuna 'supporting documents' za kadi yake ya maendeleo kudhihirisha hilo ulilolisema. Kwa hivyo nahisi ni kama taarifa za kuungaunga au za kusikia bila kuwa na hakika nazo. Kwa Tanzania kama alikaa Ikulu miaka yote hiyo 12 na akichambua taarifa za kijasusi kama ulivyosema na akaifanya kwa ufanisi nadhani anaweza kuwa wa maana. Hivi mtu kupewa mission ni hiyo tu ya kwenda kuua NCCR kama mmoja alivyotueleza hapa? Mi nadhani mtu akifanya kazi aliyokabidhiwa kwa uagalifu na uaminifu na kuifanya kwa muda si mbaya kama tunavyotaka kudhani. Najua kipindi hiki cha kutafuta rais wa Tanzania tunapaswa kusikia mengi, ila tuwe wakweli na pale anapostahili mtu apewe iliyo stahili yake kama ni sifa au kinyume chake almradi ukweli ndo utawale kuliko fitna na propaganda za makundi ya wasaka tonge la urais. Kwa kutokueleza ukweli tunawanyima wana jamii uhalali na ukweli wa habari ili waweze kufanya uamzi sahihi juu ya nini kifanywe kuelekea uchaguzi wa mwaka huu.Ukweli upi unaousimamia? Ninachokiona hapo umeenda kule Wikipedia ukasoma historia ya Membe then ukaingiza Umbea wako
Yanafumuliwa na ambayo hayakujulikana,
Mi ni mtetezi wa wasema kweli na ukweli hupimwa kwa aina ya vyanzo vya habari na viambatanishi vya kuelezea ukweli wenyewe. Kwa mfano unatupatia taarifa zake za Nampa na Itaga na hakuna 'supporting documents' za kadi yake ya maendeleo kudhihirisha hilo ulilolisema. Kwa hivyo nahisi ni kama taarifa za kuungaunga au za kusikia bila kuwa na hakika nazo. Kwa Tanzania kama alikaa Ikulu miaka yote hiyo 12 na akichambua taarifa za kijasusi kama ulivyosema na akaifanya kwa ufanisi nadhani anaweza kuwa wa maana. Hivi mtu kupewa mission ni hiyo tu ya kwenda kuua NCCR kama mmoja alivyotueleza hapa? Mi nadhani mtu akifanya kazi aliyokabidhiwa kwa uagalifu na uaminifu na kuifanya kwa muda si mbaya kama tunavyotaka kudhani. Najua kipindi hiki cha kutafuta rais wa Tanzania tunapaswa kusikia mengi, ila tuwe wakweli na pale anapostahili mtu apewe iliyo stahili yake kama ni sifa au kinyume chake almradi ukweli ndo utawale kuliko fitna na propaganda za makundi ya wasaka tonge la urais. Kwa kutokueleza ukweli tunawanyima wana jamii uhalali na ukweli wa habari ili waweze kufanya uamzi sahihi juu ya nini kifanywe kuelekea uchaguzi wa mwaka huu.
Yanafumuliwa na ambayo hayakujulikana,
Membe alibuni na kuasisi mbinu za kuwachafua wengine na alifanikiwa sana kabla watu hawajamjua cha Ajabu eti baada ya kusomewa madhambi yake wapambe wake wanaanza kuchachawa ! Tulieni boss wenu Membe na nyie wenyewe mchomwe Sindano za kuwatibu maradhi ya kukariri kuwa Membe ni MUNGU hana Dhambi na kila analosema linatoka Mbinguni. Nendeni mkamwambie Membe pesa za Gadafi na Laana ya marehemu balozi wa Libya Vinatosha kumnyima sifa na nafasi ya kugombea Urais , Ufisadi pesa za Viza Ubalozi wa UK , pesa za Ununuzi nyumba za balozi nje ya Nchi, chenji ya Rada, BAE, pesa za Kasima Wizara ya mambo ya nje na madili mengine kibao ambayo yanawekwa Kiporo kama Siraha za Akiba pindi Membe akiendelea na Tabia yake Mbovu ya kuwachafua wenzake.
Hiyo pesa ya BAE system Membe kaipiga, pesa za Gadafi kapiga, pesa kununua nyumba za balozi nje ya Nchi kapiga, pesa za Viza kwenye Ubalozi wa UK nazo anazipiga ana percent zake kila balozi hapa Nchini, Membe ni bonge la mwizi hafai hata kidogo, Wakiletwa FBI toka USA wamchunguze nina hakika atafungwa jela hata miaka 100 kwani ana Madhambi Mengi hakuna mfano.
mpaka sasa ccm,membe ni mtu mwenye rekodi safi iliyotukuka,ndo maana jamaa mnamchafua kabla hata hajatmka kuwa atagombea uraisi.Mnaposikia jina la membe tu,mavi yanaanza kugonga C.H.U.P.I yanarudi!
kama ndivyo leta concrete evidence! yeye ni mtu mwenye uwezo wa kupambana na UKAWA !
Chenge,tibaijuka,to mention few,hao ndio walipaswa wawe jela! Usalma wa taifa wako wapi?
Chenge,tibaijuka,to mention few,hao ndio walipaswa wawe jela! Usalma wa taifa wako wapi?
Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,
Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi
Angekuwa kilaza kama unavyotuaminisha asingekuwa mchambuzi wa mambo ya usalama au analyst kwa kimombo. Wanausalama wa kipindi hicho wanasifika kwa weledi. Hakuna hoja yoyote hapa.
Acha uongo miaka hiyo wasomi walikuwa wachache hivyo kazi zilikuwa nyingi kuliko wasomi waliokuwepo wakati huo.
Kwenye makala ya Mkumbo alisema Membe form six alipata matokeo hafifu lakini kumbuka Membe aliajiriwa na idara hiyo akiwa hajaanza masomo ya elimu ya juu. Maana yake alipata kazi kwenye idara hiyo na matokeo yake hafifu.
Kuwa mchambuzi wa masuala ya kijasusi ndo yalikuwa majukumu yake ambayo siyo lazima kuwa yalihitaji mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana.
Kwa wanaoelewa unaweza kujiita accountant kumbe kazi zako ni kuandika vocha ama kufanya kazi za cashier kitu ambacho hakihitaji ufahamu wa juu wa masuala ya uhasibu.
So inaweza kazi zake kama kwa nafasi ya mchambuzi ikawa ni kupanga mafail kulingana na nature ya cases presented ili kuwarahisishia na seniors kazi za uchambuzi, just mfano, usijenipiga mawe bure.
KWa hiyo unataka kusemaje?

Ebu weka hiyo source ya matokeo ya Membe, maana nimeisoma ile ya Kitila kuhusu elimu anazungumzia kuwa Membe alitakiwa kubaki kufundisha chuo kikuu Dar es Salaam lakin akatakiwa na Serikali aende Canada Ubalozini.Acha uongo miaka hiyo wasomi walikuwa wachache hivyo kazi zilikuwa nyingi kuliko wasomi waliokuwepo wakati huo.
Kwenye makala ya Mkumbo alisema Membe form six alipata matokeo hafifu lakini kumbuka Membe aliajiriwa na idara hiyo akiwa hajaanza masomo ya elimu ya juu. Maana yake alipata kazi kwenye idara hiyo na matokeo yake hafifu.
Kuwa mchambuzi wa masuala ya kijasusi ndo yalikuwa majukumu yake ambayo siyo lazima kuwa yalihitaji mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana.
Kwa wanaoelewa unaweza kujiita accountant kumbe kazi zako ni kuandika vocha ama kufanya kazi za cashier kitu ambacho hakihitaji ufahamu wa juu wa masuala ya uhasibu.
So inaweza kazi zake kama kwa nafasi ya mchambuzi ikawa ni kupanga mafail kulingana na nature ya cases presented ili kuwarahisishia na seniors kazi za uchambuzi, just mfano, usijenipiga mawe bure.
Ebu weka hiyo source ya matokeo ya Membe, maana nimeisoma ile ya Kitila kuhusu elimu anazungumzia kuwa Membe alitakiwa kubaki kufundisha chuo kikuu Dar es Salaam lakin akatakiwa na Serikali aende Canada Ubalozini.
Ebu weka hiyo source ya matokeo ya form 6 kabla hatujaendelea.