Why are you single?

Why are you single?

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
3,124
Reaction score
2,819
Capture.PNG


Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!

Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui Mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mimi mwanaume bado napambana..

Je, kwanini wewe uko single?!
 
Tulia tuliza akil...kuwa smart na fanya kaz kwa bidii......ukishika mtoto wa mtu piga panga za kutosha[yale mambo yetu watu wazima] ..ukifanya hayo kwa umakini ad wengine utakuwa unawakataa....

Ivoo ndo vitu vya msingi kama mwanaume unaejielewa unatakiwa kufanya

Hii ndo siri yangu siku zotee
 
Back
Top Bottom