Why are jews so smart?

Intelligence does not have anything to do with religion.
 
Ni kweli kabisa hawa jamaa hizi Ndio akili zao nyingi zilikowapeleka

Gonga hapo

Welcome to Tel Aviv, the gayest city on earth - The Boston Globe
 
Kwahiyo hata kibongo tukifata huo utaratibu tutakuwa na miakili mingi mingi! au hiyo ni kwa ajili yao!
The answer could be yes. We need to change our daily habits of eating, parenting, etc. and maybe within 3 generations, it could be achieved.
 
Interesting. Nmejfunza vingi, nitatekeleza ving.
 
Hiyo story mimi pia nimewahi sikia mkuu, na pia nashangaa vyakula ambavyo huku bongo tuna vikataa na ndo vyenye faida zaidi hasa afya ya akili mkuu mfano kula samaki.
 
Sina hakika akina Isaac newton nao pia ni jews au mleta mada tunaomba utuletee walao innovation ambayo imefanywa na hao wayahudi?
 
Wenzako wamefanya utafiti wakagundua hivyo. Na ni kweli kama huamini jaribu siku ukishika mimba msomee mtoto alieko tumboni vitabu utaona atakavyotoka na akili.
 
colonial mentality still disturb Africans!
 
Hiyo story mimi pia nimewahi sikia mkuu, na pia nashangaa vyakula ambavyo huku bongo tuna vikataa na ndo vyenye faida zaidi hasa afya ya akili mkuu mfano kula samaki.
Upo sahihi kabisa ila sisi tuna kila kitu lakini vitu vingi hatujui faida zake
Asia wanajua sana haya mambo.
Kweli samaki wana faida sana
 
The answer could be yes. We need to change our daily habits of eating, parenting, etc. and maybe within 3 generations, it could be achieved.
may be it's going to work really! but the question is that - with the environment we have as you know we are in Shithole countries where many families cant afford a balanced diet. So this gonna be hard to be implemented.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…