labda kwa kuwa wababa wana vitambi!!! nimepata??
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha uwiiiiii eee tata
labda kwa kuwa wababa wana vitambi!!! nimepata??
nimepata au nimekosa???
hapa umekosea maana wababa wengine hawana hizo mambo za vitambi na ni wakali hatari
japo wababa asilimia kubwa wana vitambi ni wachahe sana ambao ni flat screen