PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Nimesikia wanaume wakilalamika kuhusu wanawake na kutotoa manuguniko ya kimahaba but the worst culprits ni hao hao wanaume.Wengine ni kama mizoga - hata hapumui - hata akifika ukingoni ni macho tuu huwa yanakuwa makubwa kama mtu ameona jini lakini - no sound effects -vipi mabrother ?Mbona hivi?