Hongera mama Samia .
Vijana wa Gen- Z , na watanzania hongereni lakini kwa sasa turudi kujenga nchi.
Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030.
Mlioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe.
Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao.
Wapinzani sio maadui, muwatoe magerezani na udwanzi wa kutekana ukome.
Katiba mpya ya warioba irasimisheni ili kuepusha madhara makubwa zaidi baadae.
Mungu ibariki Tanzania.